Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye, au yule (LISSU) anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, bila shaka ni (CCM) anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka, ndiye anayeharibu amani yetu ya Tanzania kwa maslahi yao binafsi.
 
Magufuli likuwa Muisilamu?.,mbona walimsema pia?,hv chama chenye hoja nyepesi kama hizi ndo tunategemea kuleta maendeleo?
 

Kama Padri amehusika kwenye mauaji sababu ya ukabila, una uthibitisho alitumwa na kanisa?

Ignorance is a bliss!
 
Kumbe ndo zake
Sa akae akijua ht huyo aliyemfanya arudi Hana muda

Ndiyo zake tuliomo humu siku nyingi tunamjua. Enzi za JK ndiyo alikuwa kinara humu pamoja Faiza Fox.

Anadsi Wakatoliki wakati wengi tu wasiowakatoliki wameongea. Hiyo video ni ya Bangoza smbaye siyo Mkatoliki.

Askofu Shoo, Mwanamspinduzi, Nwamakula na wengine wengi siyo Wakatoliki. Wanatumia Ukatoliki kusambaza Propaganda yao.
 
Akili za Wana CCM huwa ni kama kipindupindu kikija kinasomba wachafu na wasafi
Sio Magufuli aliyepigwa waraka hadi akaongea ujinga kuwa
Kuchochea udini mnaona ni kitu rahisi
Udini na ukabila vita vyake vikianza sio mchezo.
 
Kifupi inawauma sana nchi yetu nzuri ikiongozwa na muislam
 
NA MKRISTO MWENYEWE NI HUYU K ROPO ROPO, BAS NA SISI WAKRITO TUTAKUWA HAWAYANI KAMA WAVAA STOLA WETU.

siyo lazima awe huyo, kuna hazina kubwa sana ya Wakristo, ni Ukristo pekee ndiyo hufundisha patriotism, wengine wote hawana patriotism, uislamu haufundishi chochote kuhusu taifa na waislamu hawaamini katika utaifa wanaamini umma, maana yake ni kwamba yoyote aliye muislamu hata kama anatoka foreign countries ni ndugu yao sasa na ndiyo maana mambo muhimu kama bandari au rasilimali za nchi kwao ni secondary, shehe wa tanzagiza alisema waarabu wamekuja kuchukuwa bandari zao imagine that? angalia muslims countries wanavyobomoa nations zao, wasomalia wako prosperous kila mahali lkn siyo somalia, hawaamini ktk nation sasa ni tofauti na Christianity na ndiyo maana kwa maoni yangu muslims hawawezi ku coexist na Chriatians, mifano ipo mingi angalia India vs Pakistani …
 
Kama Padri amehusika kwenye mauaji sababu ya ukabila, una uthibitisho alitumwa na kanisa?

Ignorance is a bliss!
KAMA HAKUTUMWA NA KANISA KWA NINI KANISA LIHUSIKE KUMTOROSHA?
UMEISOMA HYO HUKUMU AU unaleta kiingereza chako cha KIKATEKISTA HAPA?
 
ASANTE SANA..
UMENIPINGA KWA HOJA!
UBARIKIWE,
SIO KAMA WALE WENGNE WANAPINGA KWA MATUSI..

nina swali..nin kifanyke tunapopata kiongozi muislam?
 
kuomba na kusali sana asifwate uislamu …
Hahahahahahahahahaa

KUOMBA NA KUSALI SANA KIROHO lakini SI KUOMBA NA KUSALI KIDINI!

mm huwa ni vigumu sana kukubali jambo hususan lenye malumbano bila hoja..

LAKN KWAKO NMEKUBAL HOJA YAKO, UMENIPGA NA KITU KIZITO KICHWANI, VIJANA WANASEMA UMENIPIGA TUKIO..

WE SI MTU WA KAWAIDA KICHWANI..UNA KITU.

NIKUTAKIE MCHANA MWEMA MWAMBA
 
Mbona unawapangia cha kusema,ulitaka waseme Mama anaupiga mwingi.🤣🤣🤣🤣
 
Mbona hujamalizia hapo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ambao mkwe Mohammed Mchengerwa alisimamia vuzuri sana!🤣🤣🤣
 
KAMA HAKUTUMWA NA KANISA KWA NINI KANISA LIHUSIKE KUMTOROSHA?
UMEISOMA HYO HUKUMU AU unaleta kiingereza chako cha KIKATEKISTA HAPA?
Unaandika maandishi makubwa namna hiyo, ulisomea wapi?😂😂😂😍
 
Hivi mnapata faida Gani ya kuwa waongo kwa kiasi hiki!🤔
 
Punguza Christianphobia
 
Wewe so mgeni hapa nchini, k ahiyo upuuzwe tu.
 
Umekuja na Fantas za kidini

Fuatilia vema viongozi wa kikatolika. Matamko yao sio kwa Samia tu …… hata JPM walimkemea

Hao watu usiwapime…. Wamepatikana kwa mfumo wa kielimu … they are intellectual….sio hao wengine haijulika hata wanapatikana vipi… based on education au based ya kuongea ongea tu … hatuwezi hata ku track education background zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…