Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Kauli ya mdada akiitwa geto kwa boyfriend work.
A. Leo hata anilazimishe vipi siwezi kubali kufanya mapenzi.
B.lakini ngja ninyoe mavuzi lolote laweza kutokea.


N.B hizo kauli mbili hapo juu za wadada nashndwa kuzitofautisha na kauli za mkulu.

Mama muza ongeza kimpumu ya buku tulewe.
 
Duh mkuu umetumia tafsida ngumu kwa wengi
 
Huyu jamaa tulisha mjadili na tukaafikiana kuwa huyu jamaa sio mwanadamu wa kawaida
 
Huyu jamaa tulisha mjadili na tukaafikiana kuwa huyu jamaa sio mwanadamu wa kawaida
Na katika kikao chetu tulikukabidhi "zawadi na tuzo" ili umkabidhi lakini mpaka leo sijakuona Tibisiii live bali chereko tu....


Kulikoni mkuu...........!
 
Mkulu wetu hapendi kusikia mawazo kama haya wewe mama muuza ongeza kijoti....tunywee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…