green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Here we go
Kwenye gari hamna vifaa vya kurekodia sauti ila kauli za mwisho hua zipoHivi kwenye magari vipi?
Search flight number hiyo utapata habari kamiliAah here we go...
Hiyo ya mwisho "i told tou it was on left" ni ndege ziligongana au picha ya kijiweni
Ubaya wa ndege mwili unaweza ukaungua na kubaki majivuIla ndege ni risk hatari,bora gari unaweza pond asieee
Niliona clip ya Ethiopia airline raia walivyokua wanahangaika sekunde za mwishoKipindi cha last seconds before crash kinatisha sana ukikiangalia
😂"Kumamake", alisikika rubani wa kitanzania.
"Kudaadeki"Bongo ingekua
Mtumeee
yesu kristoo
otate naneee
aaah mamake
Ukiona zile clips unaweza usipande ndege tenaNiliona clip ya Ethiopia airline raia walivyokua wanahangaika sekunde za mwisho
Daaa sanaa aseee ile Ethiopian iliua wengi sana wa EA asee boßs wangu mmoja pia alifariki ile ajali...Ukiona zile clips unaweza usipande ndege tena