Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Ikifika imefika mkuu,kifo hakina uboraIla ndege ni risk hatari,bora gari unaweza pond asieee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika imefika mkuu,kifo hakina uboraIla ndege ni risk hatari,bora gari unaweza pond asieee
Ulikuwa ushatoa kauli gani?Kuna siku tulipata ajali..dereva alihama barabara baada ya kusinzia.. nliona kama ndoto kilichokuwa kinaendelea..nlishikilia kiti cha dereva Niko gonna kuachana na mwanga..Mungu mkubwa..hatukupata hata mchubuko.
Hata kauli haikuja mkuu.. nlikuwa nangojea tu muda ufike.Ulikuwa ushatoa kauli gani?
Hiyo ya mwisho ndo neno wengi hapa bongo hulitamka pindi tu wakikutana na misfortune, liwe la kwanza Hilo.Bongo ingekua
Mtumeee
yesu kristoo
otate naneee
aaah mamake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupanda ndege nadhani kunapanua moyo..muda wote unastuka tu. Saiv nikikwea pia naweka Ngoma za dini tupu. Nakaa karibu na Muumba.
Rubani alikuwa bwana mdogo mbichi kabsa( below 25)Daaa sanaa aseee ile Ethiopian iliua wengi sana wa EA asee boßs wangu mmoja pia alifariki ile ajali...
Ila wanasema ndio usafiri salama zaidi dunianiMi huangalia air crash investigation,yaani sitamamani kupanda ndege,siku nikipanda sitokua na imani kabisa na ikitua wa kwanza kutoka
Daaaaa mbayaaa sanaaRubani alikuwa bwana mdogo mbichi kabsa( below 25)
TobaaaaaaaaHivi kwenye magari vipi?
Magari hayana trip recorders,Hivi kwenye magari vipi?
Yeah, vinarandana...Hivi Damm it ndo kudadadeki?!
Hatari sanaExperts wa air crush investigations wanasema moja ya moments ngumu ni kusikiliza hizo kauli za mwisho za marubani, kwenye cockpit voice recorders.