Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

Kuna siku tulipata ajali..dereva alihama barabara baada ya kusinzia.. nliona kama ndoto kilichokuwa kinaendelea..nlishikilia kiti cha dereva Niko gonna kuachana na mwanga..Mungu mkubwa..hatukupata hata mchubuko.
Dah aise ni jambo la kumshukuru Mungu mfano..Marehemu Edward Moringe Sokoine alikua kiti cha nyuma kwenye benzi yake ajali ilivyotokea alijikuta ametokea kwenye kioo cha mbele gari ana alivunjika mbavu mbili na mkono. Dereva na mlinzi walitoka salama kabisa
 
Hatari sana mkuu. Sisi ya kwetu ilizuiwa na vichaka. Ilasimama.
 
Ajali wapi babu, nasikia prof shaba kishafariki
 
........na ukaamini hii story ya sokoine mpaka leo?...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…