Kuna maneno ya kiingereza hayana tafsiri ya moja kwa moja kwa kiswahili so tafsiri yake kwa kiswahili inategemea na jinsi linavyotumika. Damn it hutumika wakati mtu anapokutana na tukio ambalo hakulitarajia ambalo nisi zuri. Mfano ukidondosha glasi ya maji unaweza kusema damn it. So situation kama hiyo kwa kiswahili unaweza kutumia kudadeki, kubabake au kmmke. So kwa misingi hiyo damn it kwa kiswahili ni sawa na kusema kudadeki, kubabake nk. Huvyo ndivyo mimi ninavyoelewa.
Hiyo kauli inatokaga kwa mitoto MIPUMBAVU inayosema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu....lazima jitu pumbavu kama hili litalia mama mama mama... hatakama lina mandevu.
Hiyo kauli inatokaga kwa mitoto MIPUMBAVU inayosema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu....lazima jitu pumbavu kama hili litalia mama mama mama... hatakama lina mandevu.