gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Nimeona hapo nikajiuliza kwa nini namba 16? Sikuelewa in the first place.
Haa haa haa...
Yaani "LISSU 16 BULLETS", but alive...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa haa...
Yaani "LISSU 16 BULLETS", but alive...
Ngoja zianze kampeni kote huko tutapiga hakuna jiwe ambalo halitageuzwaTatizo Watanzania wengi hawajaguswa sana na ishu ya Uhuru.
Ongeleeni kuhusu Uchumi.
Nchi hii inabidi tupiganie uhuru kwa mara nyingine baadaya kupoteza uhuru wetu kwa utawala.Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Lissu amekuwa akifanya ziara mikoa mbalimbali ya kusaka wadhamini huku akilakiwa na Maelfu kwa maelfu kokote anakopita.
Mojawapo ya sababu kubwa ya kupata uungwaji mkono huo kutoka kwa wananchi hasa waliohojiwa kila anakopita ni kauli Mbiu yake ya 'Uhuru na Kazi' akimaanisha pamoja na kutakuwa kufanya kazi lakini katika serikali yake wananchi watakuwa huru hasa katika kufanya siasa, kupata habari mbalimbali bila ubaguzi, vyombo vya Habari kuwa huru bila kufungiwa hovyo, waandishi wa habari kutokunyanyaswa na watu kuwa huru kukosoa serikali yao bila kuogopa kukamatwa na kufungiwa.
Pia Lissu amekuwa akijinasibu katika serikali yake ni mwiko kuingilia Bunge na mahakama bali kuiacha mihimili hiyo kuwa huru katika maamuzi yake. Pia wananchi kuwa huru kuangalia LIVE Bunge lao.
Mgombea huyo wa Chadema anasema kutaka watu wafanye kazi tu huku ukiwanyima Uhuru wao ni dhambi kubwa ambayo kamwe serikali yake haitafanya.
Nashukuru sanaMkuu upo sahihi 100%
Huyu ni shujaa wa karne
Hakika Mungu aliyemuokoa na risasi 16 ana sababu kubwa na yeyeMungu katupa zawadi kwa huyu mtu.
Watanzani zawadi hii jamani.
Huko kijijini si ndiyo zaidi? Wanamwelewa sanaUhuru upi?
Hivi mwananchi wa nanjilinji kule ukiongelea juu ya uhuru si anakushangaa?
Hilo la uhuru atawapata viongozi wenzie wa pale ufipa
Ni sawa na kujidanganya kuwa wana mazuri utumwani.Kwa kweli hata mimi nahitaji uhuru , mtu anayenizuia hata kumwombea mtu aliyepigwa risasi 16 nitampaje kura yangu? Heri nilale njaa ila niwe huru.Siku zote wanadamu timamu wanausaka uhuru.Sitachoka kuusaka na kuupigania uhuru.
Kipenga cha kuanza mbio (za kampeni) hakijapulizwa. Yeye kaishaanza kukimbia ovyo ovyo. Wenzake wametulia wakiangalia silaha alizo nazo (anazotumia kuwashawishi wananchi wampe kura).Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena.
Tunataka kila risasi moja, kura milioni moja! Mimi nikiwa mwananchi wa kawaida, nimesha shawishi watu 20, nataka kufikisha angalau 100, kidogo kidogo .......
Mkuu hizi nguo nimeona zikigombewa kama njugu mahali fulani lakini sikuelewa , kumbe ndio ziko hivi !
Kipenga cha kuanza mbio (za kampeni) hakijapulizwa. Yeye kaishaanza kukimbia ovyo ovyo. Wenzake wametulia wakiangalia silaha alizo nazo (anazotumia kuwashawishi wananchi wampe kura).
Anaogopa ataonekana ana watu wachache aanazunguka kimya kimya aibu.Hivi JPM hajaanza kuzunguka siyo?
Nchi imekabiziwa washamba na malimbukeni wa kihutu.Yatakuwa kama ya wimbo wa taifa, kesho utasikia mgombea kafanya kosa kwa kuandika jina Jezi ya Taifa.
Ni kama Utoto ila yanaweza tokea, Hii nchi akili kumkichwa na ujinga pia kumkichwa
Hii nitaipaje hata kwa laki mbili niko tayari kuinunua