Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

Isomi wako usio na Tija una manufaa gani Kwako na jamii zaidi ya kuwa mzigo?
 
Unaweza kutaja japo nchi moja tu duniani iliyojitosheleza kiajira kwa raia wake wote?.
Wana private sectors, na foreign investors.
Tatizo la CCM wamerundika makodi mpaka makampuni ya nje yanaogopa kuja kuinvest hapa.
 
Isomi wako usio na Tija una manufaa gani Kwako na jamii zaidi ya kuwa mzigo?
Kwanini wameweka vyuo vikuu kama wataproduce wasomi wasio na tija?
Hapa wa kuilaumu ni CCM, CCM wamefanya makosa alaf wanataka wananchi wasolve makosa ambayo wao hawakuyafanya.
 
Kwanini wameweka vyuo vikuu kama wataproduce wasomi wasio na tija?
Hapa wa kuilaumu ni CCM, CCM wamefanya makosa alaf wanataka wananchi wasolve makosa ambayo wao hawakuyafanya.
Ccm ndio Huwa inafundisha watu huko vyuoni? Kwanza ni kazi ya mhitumu kuonesha Tija ya Elimu yake
 
Tunaongozwa na Serikali ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, wangetumia akili, wasingeweka vyuo vikuu, wangebadilisha mfumo wa elimu wakaweka VETA kama sehemu ya kupitia baada ya secondary level of education.
 
Wewe uliyesomea MAENDELEO YA JAMII,nje ya kuajiriwa unaweza kujiajiri kufanya kipi?.
Kwani unadhani wanaotoa ushauri kuhusiana na unyanyasaji wa kijinsia pamoja na kusaidia jamii namna bora ya kfungua na kuanzisha miradi ya kujikwamua kama vile kuanzisha vikundi, namna ya kupata mikopo kwa ajili ya makundi, kuandika andiko ili waweze kusajiliwa, kuandika katiba pamoja na kujisajili.

kazi ni nyingi sana...sema mnajua kazi za ki ufundi.
 
Mkuu siyo kwamba ni yeye hataki tu kufanya bali ni hajui kabisa kutenda.Mimi nimefanya kazi na wahandisi wa umeme miaka ya 2000 huko,yaani muhandi hajua jinsi ya kubadili ballistic chock katika tubelight flame!?.
Mwengini alishindwa kupima ufanisi wa three phase earthing katika project yake.Baada ya kangaika kwa muda mrefu bila mafanikio,ndiyo akaelekezwa kuja katika ofisi yetu ili kumpa msaada.
Kifipu mambo bado ni magumu kwa wasome wetu.
 
Wasomi wengi wa vyuo vikuu vya Tanzania wanataka pesa za haraka haraka ndio maana wengi wamekimbilia kwenye bodaboda.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu!Ndiyo endelea kusugua gaga huku ukiwa umekaa kwa dadako, ukila ugali alotafuta shemeji yako fundi bomba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu!Ndiyo endelea kusugua gaga huku ukiwa umekaa kwa dadako, ukila ugali alotafuta shemeji yako fundi bomba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naona fundi bomba imekugusa sana. Ahahahaah pole mkuu sitakudharau sababu hiyo ni kazi halali.
 
Umeshaoma matangazo ya Utumishi kuhusina na walimu wa kwenda kufundisha VETA?
Mkuu Veta wana masomo ambayo haya husu ufundi kama English,Entrepreneurship,Computer,Life skills Engineering Science,TD haya husiani na ufundi walimu wa secondary wanaundisha..Lakini mwalimu wa ufundi lazima awe fundi ana ujua ufundi na wana chuo chao pale Morogoro la sivyo Veta wangezalisha mafundi wa ajabu..
 
Thread closed
 
Ndiyo. Elimu ya Chuo.Kikuu ni dhaifu dhidhi ya elimu ya VETA na vyuo vya NACTE.
 
Wana private sectors, na foreign investors.
Tatizo la CCM wamerundika makodi mpaka makampuni ya nje yanaogopa kuja kuinvest hapa.
PRIVATE SECTORS ina anzishwa na nani?.Ujui kuwa hizo PRIVATE SECTORS zinabuniwa na kuanzishwa na raia wenyewe?.
 
Wana private sectors, na foreign investors.
Tatizo la CCM wamerundika makodi mpaka makampuni ya nje yanaogopa kuja kuinvest hapa.
Msomi ndiyo ulipaswa utengeneze PRIVATE SECTOR ndani ya nchi na nje ya nchi,lakini eti wewe unawaza watu waje toka nje ya nchi ndiyo wa anzishe PRIVATE SECTOR ndiyo wewe uajiriwe!.Aisee!Hii ni aibu kwa msomi kuwa na mawazo ya aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…