Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kila nchi tatizo la ajira lipo. Na waliokosa ni ombaomba kama tanzaniaUnaweza kutaja japo nchi moja tu duniani iliyojitosheleza kiajira kwa raia wake wote?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nchi tatizo la ajira lipo. Na waliokosa ni ombaomba kama tanzaniaUnaweza kutaja japo nchi moja tu duniani iliyojitosheleza kiajira kwa raia wake wote?.
Kujiajiri sio Suluhu la tatizo la ajira. Unless kama naongea na kiazi kinachogugo gugo na kuleta hoja kinzani ili kipate umaarufuVitendo katika fani ipi?Anayesomea maendeleo ya jamii anaweza fanya mafunzo ya vitendo vipi ili mtaani ajiajiri?.
Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sanaToa upumbavu wako hapa wewe fala,watu wangapi wamesoma vyo vya Nje na ni jobless hapa Tanzania?
Sera zenu Bora na mfumo Bora wa kujiajiri ni upi?Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sana
Mm ni miongoni mwa waliosoma nje na Sasa nina kampuni yangu. Lete povu jingine.
Huyo chongo ni nani.....Veta hihii hii nilipita hapo Mwanza nikakuta wanafunzi wanatype kwenye typewriter 🗑 🚮 zama hizi!Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri.
Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe.
Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je, malengo ya utoaji wa elimu ya vyuo vikuu yamefikiwa? Ikiwa bado hayajafikiwa ni nani wa kulaumiwa, kama siyo CCM na wanaccm?
Pili, inatoa tafsiri kwamba waliohitimu veta wana uwezo wa kujiajiri kuliko waliohitimu vyuo vikuul. Binafsi naona kuwa haya ni madhara ya kusema kabla ya kufanya utafiti. Huku mitaani tunaona watu wengi waliojiri ni wale ambao hawajaenda veta wala vyuo vikuu.
Sasa Chongolo atuambie hawa waliupata wapi uwezo huu? Je, ni shule ya msingi? Kama ndivyo atoe kauli nyingine.
Natoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote nchini kuandaa maandamano kupinga kauli hii inayotweza na kuidhalilisha elimu ya daraja la juu kabisa duniani. Mkikaa kimya CCM haikawii kuwafanya muonekane kama wahitimu wa darasa la saba.
Yaani Chongolo anawafanya ninyi wasomi wenye madigrii kuwa ni mbumbumbu kuliko kijana wa darasa la nne aliyehitimu ufundi uashi?
MSIKUBALI!
Sera zingekuwa mbovu ungefungia kampuni Yako?Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sana
Mm ni miongoni mwa waliosoma nje na Sasa nina kampuni yangu. Lete povu jingine.
Broo tutake radhiWanavyuo waliokuwa wanaandamana walikuwa ni wa zamani sio hawa wa sasa hivi hawa ni nyoro nyoro
Hatufungui na nani mkuu, usipende sana kupachika watu sifa ambazo siyo zao...natoa mawazo yangu humu lakini tayari unajifanya unajua hadi kazi au kiwango cha elimu yangu.Sasa why mfungui hizo ofisi ili muwe mmejiajiri?.
Sasa mkuu utawalaumu vp CCM wakati wewe mwenyewe umekimbia kusoma masomo ya kiumeni kama PCM,PCB,PGM,EGM n.k na wewe umekimbilia HKL?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna fani zilipaswa kufutwa vyuoni Kama tungekuwa serious. Kama ccm inajua fani hizi hazina practical application mitaani kwann zifundishwa?? CCM ni wangese
Ndiyo Dr Msukuma ana wa dharau.Kwani Singapore wasomi ndo walitengeneza Google?
Sera nzuri ya Serikali ya Singapore iliwaruhusu Google kuja kufungua ofisi nchini kwao na kutengeneza ajira.
Tangu lini fundi akawa na muda mwingi wa kuandika zaidi ya kutenda?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna shida tu kwenye uandishi wako na unataka utuaminishe ulichokiandika?
Sasa ndiyo uende VETA ujuzi.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani lazma ifundishwe hiyo? Sinifutwe kama haina tija?
Anayetudharau kafanya jambo gani kubwa?Ndiyo Dr Msukuma ana wa dharau.
Yaani Singapore wametengeneza Google?Ndiyo Dr Msukuma ana wa dharau.
Tukiacha ujinga tutaendelea... elimu ya chuo kikuu(viingi vya hapa bongo) ni ama uajiriwe ama ubahatishe kujiajiri kwenye uchuuziChongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri.
Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe.
Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je, malengo ya utoaji wa elimu ya vyuo vikuu yamefikiwa? Ikiwa bado hayajafikiwa ni nani wa kulaumiwa, kama siyo CCM na wanaccm?
Pili, inatoa tafsiri kwamba waliohitimu veta wana uwezo wa kujiajiri kuliko waliohitimu vyuo vikuul. Binafsi naona kuwa haya ni madhara ya kusema kabla ya kufanya utafiti. Huku mitaani tunaona watu wengi waliojiri ni wale ambao hawajaenda veta wala vyuo vikuu.
Sasa Chongolo atuambie hawa waliupata wapi uwezo huu? Je, ni shule ya msingi? Kama ndivyo atoe kauli nyingine.
Natoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote nchini kuandaa maandamano kupinga kauli hii inayotweza na kuidhalilisha elimu ya daraja la juu kabisa duniani. Mkikaa kimya CCM haikawii kuwafanya muonekane kama wahitimu wa darasa la saba.
Yaani Chongolo anawafanya ninyi wasomi wenye madigrii kuwa ni mbumbumbu kuliko kijana wa darasa la nne aliyehitimu ufundi uashi?
MSIKUBALI!
Kima wewe!Umeshindwa kujiajiri kwa kukosa ujuzi halafu utaki kwenda VETA!?.Angalia shemeji yako atakufanya mke wake wa pili hapo kwa dadako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitumie CV zako nikuajiri Kenge wewe
We Midabwada!Wanaume tutakudabwada kweli,jikaze nenda VETA.Kujiajiri sio Suluhu la tatizo la ajira. Unless kama naongea na kiazi kinachogugo gugo na kuleta hoja kinzani ili kipate umaarufu
Ila lecturers wengine ni vijanaa kabisaa, hata heshima haipo, na ustaarabu hawana lol.Takataka tupu vyuo vikuuu nani aandamane? kwanza kuna University students wangapi wamejiunga humu au wanasikiliza TV/Radio kujua what is going around thw clock? ? Huu ni ukumbi ambapo mtu unaweza kutoa sauti yako ikasikika! Muulize aliye karibu nawe kama ni member wa JF?
Pili wahadhiri sasa wana wa treat university students kama watoto wa sekondari. Ile heshima ya University haiko tena. WAULIZE VIJANA WA MAZIMBU SUA wanavyokuwa treated, kama watoto wa sekondari. Wanawanyanyasa watoto na mitihani kwa kuwaambia kuwa nahakikisha hutoki hapa kama hujanipa ngono. Nina mifano ya wazi! Nani awakemee
Tatu hata hao wahadhiri wenyewe ni wa mchongo! Ni chekechea hivyo hivyo! Hakuna mwenye sifa/hadhi ya kuwa Lecturer wa chuo kikuu. Kama wako ni very few. Si tunawaona products wanazozitoa....
Mwisho Chongole tunaomba CV yake. naye ni wa mchongo hivyo hivyo. Yuko pale kwa undungunisation wa samia!
Boraaa wee umesemaaa haswaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani lengo la kuanzishwa kwa VETA ni nini na lengo la kuanzishwa kwa chuo kikuu ni nini? Kuna sehemu serikali haitimizi wajibu wake.
Chongolo ni sehemu ya hiyo serikali hivyo ingekuwa busara kama dongo au ushauri angelitoa upande wa serikali.
Wanafunzi wanakwenda chuo kikuu kujifunza kile ambacho kinatakiwa kifundishwe chuo kikuu na iwapo hajafundishwa kile alichostahili kukipata kosa la mwanafunzi ni nini?
Huko VETA nacho ndo balaa tupu au yawezekana mnawaona tu watoto wakitembelea mtaani ila kichwani watupu kwelikweli...VETA nyingi zimebaki tu madarasa na meza pamoja na mitambo za kuranda mbao za old modern hakuna jipya.
Elimu yetu inachezewa kabisa, chuo cha ufundi kinachoitwa VETA, mmeshajua ni nani anawafundisha huko? This is circle...wanafunzi waliotoka huko chuo kikuu empty kama wadau wengine wanavyosema ndo wanafundisha huko VETA kisichokua na vifaa vya kufundishia bali wanafunzi wanakuja na tester, mkasi, mwiko, kono bao.....
Hatari hatari hatari.....tulioko field tunajua
Muongo sanaaa wee, mie namjua muhitimu wa DIT alisoma ME, Yuko VETA songea anafundisha, na huko Morogoro unaposema hata hapajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu wa VETA ANAFUNDISHWA NA VETA CHUO KIPO MOROGORO acha kupotosha na hili uwe mwalimu wa veta lazima usome ufundi au fani usika kwa miaka mitatu level 3 then una enda Morogoro miaka miwili kusomea ualimu wa ufundi