Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

Vitendo katika fani ipi?Anayesomea maendeleo ya jamii anaweza fanya mafunzo ya vitendo vipi ili mtaani ajiajiri?.
Kujiajiri sio Suluhu la tatizo la ajira. Unless kama naongea na kiazi kinachogugo gugo na kuleta hoja kinzani ili kipate umaarufu
 
Toa upumbavu wako hapa wewe fala,watu wangapi wamesoma vyo vya Nje na ni jobless hapa Tanzania?
Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sana

Mm ni miongoni mwa waliosoma nje na Sasa nina kampuni yangu. Lete povu jingine.
 
Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sana

Mm ni miongoni mwa waliosoma nje na Sasa nina kampuni yangu. Lete povu jingine.
Sera zenu Bora na mfumo Bora wa kujiajiri ni upi?
 
Huyo chongo ni nani.....Veta hihii hii nilipita hapo Mwanza nikakuta wanafunzi wanatype kwenye typewriter 🗑 🚮 zama hizi!
 
Sera mbao u na mifumo isiyo rafiki kwa mtu kujiajiri ndiyo tatizo. Mpk mtu upambane sana

Mm ni miongoni mwa waliosoma nje na Sasa nina kampuni yangu. Lete povu jingine.
Sera zingekuwa mbovu ungefungia kampuni Yako?

Hujajibu swali sera mbovu zipi na mfumo mbovu upi?

Na sera nzuri na mfumo mzuri ni upi?
 
Sasa why mfungui hizo ofisi ili muwe mmejiajiri?.
Hatufungui na nani mkuu, usipende sana kupachika watu sifa ambazo siyo zao...natoa mawazo yangu humu lakini tayari unajifanya unajua hadi kazi au kiwango cha elimu yangu.

Kuwa makini utawapoteza wateja wako (maboss wako). Shauri yako.
 
Kuna fani zilipaswa kufutwa vyuoni Kama tungekuwa serious. Kama ccm inajua fani hizi hazina practical application mitaani kwann zifundishwa?? CCM ni wangese
Sasa mkuu utawalaumu vp CCM wakati wewe mwenyewe umekimbia kusoma masomo ya kiumeni kama PCM,PCB,PGM,EGM n.k na wewe umekimbilia HKL?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Singapore wasomi ndo walitengeneza Google?
Sera nzuri ya Serikali ya Singapore iliwaruhusu Google kuja kufungua ofisi nchini kwao na kutengeneza ajira.
Ndiyo Dr Msukuma ana wa dharau.
 
Kuna shida tu kwenye uandishi wako na unataka utuaminishe ulichokiandika?
Tangu lini fundi akawa na muda mwingi wa kuandika zaidi ya kutenda?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukiacha ujinga tutaendelea... elimu ya chuo kikuu(viingi vya hapa bongo) ni ama uajiriwe ama ubahatishe kujiajiri kwenye uchuuzi
 
Nitumie CV zako nikuajiri Kenge wewe
Kima wewe!Umeshindwa kujiajiri kwa kukosa ujuzi halafu utaki kwenda VETA!?.Angalia shemeji yako atakufanya mke wake wa pili hapo kwa dadako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila lecturers wengine ni vijanaa kabisaa, hata heshima haipo, na ustaarabu hawana lol.
 
Boraaa wee umesemaaa haswaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu wa VETA ANAFUNDISHWA NA VETA CHUO KIPO MOROGORO acha kupotosha na hili uwe mwalimu wa veta lazima usome ufundi au fani usika kwa miaka mitatu level 3 then una enda Morogoro miaka miwili kusomea ualimu wa ufundi
Muongo sanaaa wee, mie namjua muhitimu wa DIT alisoma ME, Yuko VETA songea anafundisha, na huko Morogoro unaposema hata hapajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usidanganye hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…