Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

Uwezekano wa Mwanaccm kutumia akili yake vizuri ni mdogo sana, yule chongolo aliyekuwa anakoromewa na Makonda alikuwa anajitambua kidogo akilinganishwa na huyu chongolo wa Ccm.
 
Hatufungui na nani mkuu, usipende sana kupachika watu sifa ambazo siyo zao...natoa mawazo yangu humu lakini tayari unajifanya unajua hadi kazi au kiwango cha elimu yangu.

Kuwa makini utawapoteza wateja wako (maboss wako). Shauri yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]🖒
 
Una mtazamo wa kipumbavu. Unaandika maelezo mareeefu ambayo hayana tija.
 
Sina uhakika kama unaelewa hata maana ya private "sector" ni nini, Maana naona hapa unaongelea mtu akaanzishe private sector!
Msomi ndiyo ulipaswa utengeneze PRIVATE SECTOR ndani ya nchi na nje ya nchi,lakini eti wewe unawaza watu waje toka nje ya nchi ndiyo wa anzishe PRIVATE SECTOR ndiyo wewe uajiriwe!.Aisee!Hii ni aibu kwa msomi kuwa na mawazo ya aina hii.
 
Field katika fani ya MAENDELEO YA JAMII hata ukikaa miaka 4,unaweza jiajiri kufanya kipi?.
Hao watu wanahusika katika kuandaa na kushauri kuhusu miradi mbali mbali, kwahiyo, watu wa fani hiyo wanaweza kujiajiri kwa njia hiyo ya kutoa ushauri.
 
Hukumsikia Mbunge Jumanne Kibera Kishimba?,

Mtoto anachukuliwa kupelekwa shule akiwa na miaka {x} una mrudisha ameshakuwa mtu mzima,hajui kulima,kuchunga nk.Na kazi ofisini mpaka mtu astaff ndio mwengine aingie kwenye nafasi ile fikiria kwa mwaka wahitimu wangapi wanamaliza Chuo na sekta ngapi zinaingiza waajiriwa wapya,piga mahesabu kwa kila mwaka
 
Wasiopenda maarifa hawatakuelewa
Umetisha sana hasa hapo kwenye vocational courses, ndio wajue competence based educational training inapatikana wapi hao wapuuzi,. They don't do situational analysis and occupational skills analysis.

Hii nchi imejaa takataka nyingi sana
 
The genius kishimba
 
Hao watu wanahusika katika kuandaa na kushauri kuhusu miradi mbali mbali, kwahiyo, watu wa fani hiyo wanaweza kujiajiri kwa njia hiyo ya kutoa ushauri.
Wengine hawajui bado umuhimu wa wataalam wa maendeleo ya jamii katika kufanikisha shughuli za wananchi kujikwamua kwa kupata mikopo kupitia vikundi.
Pia Ustawi wa Jamii pia wanahitajika sana ili kulewa mwangaza katika jamii ili unyanyasaji kwenye jamii iweze kupungua.

Unashangaa iweje wanasheria bado wanakosa kujiajiri wakati katika jamii zetu bado wananchi wanashulumiwa haki zao nyingi.
Mfano mdogo, kuna ajali zinatokea kila wakati huko barabarani...Gari ina bima kubwa lakini bado abiria wengi allopata kuumia hawalipwi na wala hawajui pakuanzia...wanasheria badala ya kuwafuata hawa waathirika na kuingia nao mkataba then wao washukulikie malipo yao ili wale % wamekaa tu hakuna ajira.
 
Umenena sana maana hao wahadhiri baadhi yao umeme ukikata hawezi kufundisha maana anasoma neno kwa neno na kuvushatu kurasa zisonge
Hapo nakupa heko
 
Umenena sana maana hao wahadhiri baadhi yao umeme ukikata hawezi kufundisha maana anasoma neno kwa neno na kuvushatu kurasa zisonge
Hapo nakupa heko
Miaka ya 80 UDSM sikuona Prof/ Lecturer anakuja na karatasi lecture hall! Nilikuwa dept of science, sikuona. Yalikuwa yanatoka kichwani na enzi hizo technology kama ya sasa haikuwepo!
 
Miaka ya 80 UDSM sikuona Prof/ Lecturer anakuja na karatasi lecture hall! Nilikuwa dept of science, sikuona. Yalikuwa yanatoka kichwani na enzi hizo technology kama ya sasa haikuwepo!
Ukifika pale leo utasikitika. Basi wewe elewatu hivyo ngoja nisiendelee kwa umri wako umenielewa
 
Kima wewe!Umeshindwa kujiajiri kwa kukosa ujuzi halafu utaki kwenda VETA!?.Angalia shemeji yako atakufanya mke wake wa pili hapo kwa dadako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko siriaz.. Kwann nikudanganye fundi ujenzi!. Yani tu naongea mambo kitaalamu kumbe tu naongea na fundi maiko
 
Huyu haj
Hao watu wanahusika katika kuandaa na kushauri kuhusu miradi mbali mbali, kwahiyo, watu wa fani hiyo wanaweza kujiajiri kwa njia hiyo ya kutoa ushauri.
Hajui kitu huyu mnahangaika nae bure tu. Na hafai kusikilizwa hapa hajui anazungumzia jambo lenye sifa gan na nini aongee. Hata kama Ana PhD huyu tatizo kama hili hawez toa hoja ya kusikilizwa Kwa akili hizo kima tu huyo
 
Muongo sanaaa wee, mie namjua muhitimu wa DIT alisoma ME, Yuko VETA songea anafundisha, na huko Morogoro unaposema hata hapajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usidanganye hapa.
Niambie chuo gani kikuu wana fundisha walimu wa ufundi?...sikatai walimu wapo walio toka chuo kikuu lakini wana fundisha masomo bebeshi computer English Civics TD na Enginnering science..Msingi wangu ni kuwa masomo ya fani uselamala ujenzi bomba magari n.k chuo kipo morogoro VETA ndio wana kisimamia hili kupata walimu bora wa ufundi na mwalimu lazima awe fundi amefudhu vigezo vya kujiunga..Huyo jamaa yako kaa ajiliwa atakuwa mwalimu ana fundisha Enginnering science
 
Hapa ndo umefafanua vyemaaa. Nimekupataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…