Duh!Ile damu ilimwagika nyingi sana.
Na baada ya kupigwa na kitu kizito alikata moto kisha wakawa wanamburuza kumpeleka kusikojulikana.
Uwezekano wa kuwa waliua ni mkubwa sana.
Tanica stop.Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu.
Hasira niliyonayo kwa Sasa haiwez kuelezeka ila najua nitaitumia wapi. Ikiwa sote tulizaliwa siku Moja, sote tutakufa siku Moja. Uzalendo fake ukikufanya ushindwe kuwa na utu, wewe ni mnyama kama wanyama wengine 😭😭😭
Ulale pema Kamanda
Britanicca encyclopedia
Hehe .Mdude au lissu?, ka ni lissu tuta wafuata huko huko.
Ila kwani deep state wa nchi yetu Wana kazi ipi?, au ni kujali akaunti zao tu?
Kifupi Mdude hayupo nasi. Ni kama kilichotokea kwa yule kijana mchoraji!Code ngumu hii
15B za kazi maalumuMdude au lissu?, ka ni lissu tuta wafuata huko huko.
Ila kwani deep state wa nchi yetu Wana kazi ipi?, au ni kujali akaunti zao tu?
Niliwaambia watu kuhusu hili lakini wengi wanasubiri wauaji wake wakiri kuua!Ile damu ilimwagika nyingi sana.
Na baada ya kupigwa na kitu kizito alikata moto kisha wakawa wanamburuza kumpeleka kusikojulikana.
Uwezekano wa kuwa waliua ni mkubwa sana.
Me nilivoona tu zile damu nyingi njia nzima, nkajua fika huyu hatunae tena.Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu.
Hasira niliyonayo kwa Sasa haiwez kuelezeka ila najua nitaitumia wapi. Ikiwa sote tulizaliwa siku Moja, sote tutakufa siku Moja. Uzalendo fake ukikufanya ushindwe kuwa na utu, wewe ni mnyama kama wanyama wengine 😭😭😭
Ulale pema Kamanda
Britanicca encyclopedia
Na hawa hata wasiokuwa na hata chembe ya "uigizaji wa uzalendo" unasemaje!Moja. Uzalendo fake ukikufanya ushindwe kuwa na utu, wewe ni mnyama kama wanyama wengine
Kwani hao wanalelewa na kuvishwa nepi na nani; siyo hao hao Genge linalotusukuma shimoni sasa hivi!Ila kwani deep state wa nchi yetu Wana kazi ipi?, au ni kujali akaunti zao tu?
"Idd Amin Mama" kuna siku atawajibika kwa hili, malipo ni hapa hapa duniani.Ile damu ilimwagika nyingi sana.
Na baada ya kupigwa na kitu kizito alikata moto kisha wakawa wanamburuza kumpeleka kusikojulikana.
Uwezekano wa kuwa waliua ni mkubwa sana.
Anza wewe kuonyesha mfano.Hii nchi inatuvijana tuoga hakuna mfano duniani, mfano Mdude hajulikani alipo hata kuandamana kuulizia haviwezi vinawaza kubeti na stendapu komedi na kuimba mama-mama
Mimi si kijana ni Babu kwako. Nchi vijana wanapotezwa na yanaimbaimba mama,mama😏Anza wewe kuonyesha mfano.
Sasa kama ni Babu mbona unawashwa washwa,peleke wajukuu zako wakawe wa mfano.Mimi si kijana ni Babu kwako. Nchi vijana wanapotezwa na yanaimbaimba mama,mama😏
Sioni chakujadili namtu mwoga na mjinga,wenzio wanapotea wewe Umelegealegea kama mlenda unapepeta mdomo tuu huna unachoweza kufanya kijana Bure kabisa hata mke utataka usaidiwe...kwendaaaSasa kama ni Babu mbona unawashwa washwa,peleke wajukuu zako wakawe wa mfano.