HuzuniWaliompoteza huyu Kamanda Mdude_Nyagali watambue fika siku yao ya kufa ikifika, watakufa kifo kibaya sana.
Imagine yule mtoto mchanga atalelewa na mama yake pekee! Huku baba yake akipotezwa, kwa sababu tu ya kuwakosoa wahuni hadharani.
Mdude nyagaliCode ngumu hii
Ushujaa wako usio na uoga tungeanza kuuona hapa kwa kuweka jina lako kamili kabisa nankuendeleza harakati kama kina John Heche ,Tundu lisu na wengineo, lakini kuita wenzio waoga na wewe umajificha huku inafanya na wewe uwe sawa na hao ai zaidi ya hao unao waita waogaHii nchi inatuvijana tuoga hakuna mfano duniani, mfano Mdude hajulikani alipo hata kuandamana kuulizia haviwezi vinawaza kubeti na stendapu komedi na kuimba mama-mama
Ungeuliza nimefanya Nini mpaka Sasa na nimechangia kiasi gani kwenye harakati!! Kilasiku nijitoe mm ninyi mlale usingizi??Ushujaa wako usio na uoga tungeanza kuuona hapa kwa kuweka jina lako kamili kabisa nankuendeleza harakati kama kina John Heche ,Tundu lisu na wengineo, lakini kuita wenzio waoga na wewe umajificha huku inafanya na wewe uwe sawa na hao ai zaidi ya hao unao waita waoga
Wote hatuwezi kuwa sawa kiujasiri ndio maana kuna wengine wanaogopa mende lakini wengine wanamshika nyoka, na woye hatuwezi kuwa majasiri ndio maana nchi zote zilizo kombolewa walijitoa wachache wakapambania wengi, unadhani nchi hii wangapi wanaweza kuvivaa viatu Tundu lisu?Ungeuliza nimefanya Nini mpaka Sasa na nimechangia kiasi gani kwenye harakati!! Kilasiku nijitoe mm ninyi mlale usingizi??
Kipofu anapomuongoza kipofu mwenzake.Kuwa mstaarabu. Acha matusi ya *******.
Huyo mwache aendelee kuuwa kikombe kikijaa MUNGU naye atakaulia mbali Kama kwa MWEZAKE tuWalimuua Mzee Kibao kweupe mchana na kibibi kikaja kikatukana na kutishia watu hadharani, ila one thing for sure malipo ni hapa hapa duniani
Mwenyezi Mungu ampokeeš¢Duh!!..kamanda safari yake duniani ndo imeisha..inasikitisha sana.
Ninaheshimu maoni yako.Kuwa makini na JF. Huyo anaweza kuwa siye wale lakini niamini au fuata tahadhari alizotoa huyo jamaa hasa kwa britanicca.
Humu wenyewe wamo sana tu na wanatujua wote wale wanahitaji kuwajua.
Huwezi kuamini haya hadi siku ukikutana nao pale ukiingia 18 zao.
Changia lakini kwa kipimo, never cross redlines.