Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mkuu uwezo wa Heche ni mdogo sana. Asikusumbue!View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Wewe mbona hufanyi, hutaki hela?Kawa wapo wenye akili kwanini bandari na mwendo kasi tunakabidhi wageni?? kwanini tunaagiza mafuta ya kula njee wakati alizeti inastawi kila mahali na ardhi tunayo tatizo ni nini??
Soma kwa kuelewa siyo kukimbilia ku comment tu. Mtaji wa fedha na masoko ndiyo bottomline katika uwekezaji. Suala la teknolojia ni secondaryKongo watakuletea technologies gani ya kilimo na wewe!? Mambo mengine mnatetea hata bila kufikiri. Kongo hawa wenye ardhi nzuri na kubwa washindwe kwao halafu wawaletee nyie maarifa! Maarifa gani hayo. Muwakimbize wazungu mje mwendelezwe na walingara!!
Usingeweka habari za vyeti vya house girl wakoNimekuuliza upeo mdogo kulingana na nani/nini!!??
Mmnh! Kulimo yule form four failure?Heche ana upeo mdogo sana
Kwao kuna mto na bahari na nchi isiyokosa mvua na madini yote ya thamani kwa nini waje kuwekeza Tanzania na sio kwao kwenye fursa na soko kubwa saba?Soma kwa kuelewa siyo kukimbilia ku comment tu. Mtaji wa fedha na masoko ndiyo bottomline katika uwekezaji. Suala la teknolojia ni secondary
Mkuu sina shaka ! uwezo wa Viongozi wetu ni duni sana. Hivi BBT imeishia wapi? Mradi ule si ulilenga kuinua kilimo pesa zile zinarudishwa vipi!..mimi nina mashaka sana na utaratibu wa kuleta wawekezaji kufanya kilimo na ufugaji Tanzania.
Hizi ni sekta za Kilimo tunazopaswa kuzilinda haswa kwasababu watu wetu wana uwezo ila hatuwajengei mazingira mazuri...kama kuna sekta tuna uwezo nazo nadhani ni kilimo, uvuvi, na ufugaji.
Kyela, Muleba, Machame ndizi zinaoza kwasababu hatuna mkakati wa kufikia walaji na kuendeleza Wakulima..nilisikia kuna WARUSI wameletwa ili walime ndizi.
Ni aibu sana! miaka 60 tunatafuta mtu wa kutufundisha kulima ndizi..Sasa najiuliza hivi Watanzania hatuwezi kulima ndizi? Kwanini?
Profesa!..Jana tena nimemsikia Waziri Prof.Mkumbo akisema Wasaudia wanakuja kufanya ufugaji.
Yaani Wasaudia wanajua zaidi ya Watanzania! Kwani yule SAS ni Msaudia. Kinachotakiwa ni elimu kidogo tu...Hivi kweli Wasaudia wanajua ufugaji na mazingira yake kuliko jamii za Kitanzania?
Ni aibu sana!..Nafasi ya mkulima na mfugaji wa Kitanzania ni nini ktk mpango mzima wa kuleta Waarabu, na Warusi, kufanya kilimo na ufugaji?
Hao wezi wanateuliwa na nani! Mkuu wa TRL hakuchaguliwa kwa kura, aliteuliwa. Aliyemteua ni naniNi aina ya watu waliopo Tanzania. Mwendokasi haiendeshwi na viongozi bali Watanzania wachache walioaminiwa. Sasa wanapoiba fedha za mradi au kuuza ticketi feki tuwalaumu viongozi?? Watu wanaiba mafuta na vipuri vya Mwendokasi bado tuwalaumu viongozibwa nchi kwa kuleta wawekezaji kwenye maeneo hayo?
Kutegemeana ni sawa lakini si inatakiwa mtu umtegemee katika kitu ambacho amekupita ?Kutegemeana kitu cha kawaida, na sisi kuna vitu tunachukua kwao
Elimu ya uraia ni ndogo sana kwako. Jielimishe kidogo.Tatizo la Heche anajionaga ana akili sana kuliko yoyote, 2010 halmashauri ya tarime ilikuwa chini ya chadema na yeye akiwa diwani, hakuna cha maana chochote walichofanya.
Kama eneo dogo tu wilaya kachemka nchi nzima ataiwezea wapi?
Ni sawa na wakazi wa temeke wamtume diwani aende masaki akawashauri kuhusu mipango miji na ujenzi bora wa makazi.Sema Mzala anatumia Lugha kali sana ila ni kweli DRC hawawezi kutushauri au kufanya uwekezaji wa aina yeyote ya chakula Tanzania labda walete mtaji sisi tulime kwao wanaagiza kila kitu kutoka Nje hapo Kasumbalesa truck ni za chakula,mafuta na copper zinazotoka kwao viongozi wengi DRC wanapelekewa chakula na hizo bus za kwenda Congo..
Ni bora wangekaa kimya tu unakuja kumsikia Mzee Wasira nae hoja zake mpaka unamshangaa kweli binadamu anawaza vile 2026..Ni sawa na wakazi wa temeke wamtume diwani aende masaki akawashauri kuhusu mipango miji na ujenzi bora wa makazi.
Wewe unaona DRC ni nzima? Kweli akili yako haipo mahali pazuri. Hata vitu vidogo huelewi pumbavu wewe umekalia uchawa. Unajifanya hujui kuwa Eastern CONGO ambapo ndipo penye utajiri wa natural resources ipo chini ya M23 na vikundi vidogo vidogo vingi?Labda wewe ndiyo umekatika vipande vipande
Unaweza nitajia Mtanzania mmoja tu aliyewekeza china?Heche kakosea. Uwekezaji ni fursa zaidi kuliko asili. Mchaga anaweza acha ardhi kubwa ya urithi kilimanjaro akaenda morogoro kulima.
Wakongo kuwa na ardhi haimaanishi kwamba hawawezi kuja kuwekeza hapa.
Kuhusu Tech, It's not about nation abilities, it's about business opportunities kwa mtu mmoja mmoja.
Kuna mtu ana biashara kubwa China, ila ukiitazama China kiujumla imetuacha mbali, unaweza jiuliza Mtanzania atapeleka nini China? Kwa Tech gani aliyo nayo? Ila wapo Watanzania wamewekeza China.
Udogo wake upo wapi fafanua make mie sina mashaka na uelewa wng?Elimu ya uraia ni ndogo sana kwako. Jielimishe kidogo.
Sio mmoja. Wapo, Kuna mwingine ana documentary kabisa ya kiwanda na ameajiri wachina.Unaweza nitajia Mtanzania mmoja tu aliyewekeza china?
Wapo maelfuUnaweza nitajia Mtanzania mmoja tu aliyewekeza china?