Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

Heche ana upeo mdogo sana

Heche ana upeo mdogo sana
Upeo mdogo kulinganisha na nani/nini?
Umetumia kipimo gani!!?

Kwa mfano, mimi naamini house maid wangu wa hapa Dodoma ana upeo na uwezo mkubwa kuliko Samia sababu amesoma "straight" toka chekechea mpaka kidato cha sita, na kwenda Utalii College kupata Stashahada ya Usimamizi wa Hotel na Ukirimu.
 
Naunga mkono hoja , heche hana hoja

Kutumia kauli zinazoshambulia utu au uwezo wa kiakili wa viongozi badala ya kujenga hoja kwenye sera au maamuzi yao hubadilisha mjadala kutoka kuwa wa kiundani (substance) na kuwa wa kiuhasama (personal attacks). Lugha ya staha huongeza uzito wa ukosoaji na kulinda mshikamano wa kitaifa.
Ukiona mtu anaanza na matusi na kejeli ujuwe hana uwezo wa kudhiriki mjadala au subject matter
 
Heche then enrolled at St. Augustine University of Tanzania, graduating in 2009 with a bachelor's degree in mass communication.


Shida imeanzia hapa
Kama ni mass communication basi huyu wenzie ni akina Ali Kamwe na Brenda Rupia. Economics au International businesses kwake ni kama mnyama pori
 
Upeo mdogo kulinganisha na nani/nini?
Umetumia kipimo gani!!?

Kwa mfano, mimi naamini house maid wangu wa hapa Dodoma ana upeo na uwezo mkubwa kuliko Samia sababu amesoma "straight" toka chekechea mpaka kidato cha sita, na kwenda Utalii College kupata Stashahada ya Usimamizi wa Hotel na Ukirimu.
Huyu hapa MoDewji anaingia Mozambique kwenda kuwekeza:-

Screenshot_20260820_121420_WhatsApp.jpg
Je ana tofauti gani na WaCongo anaowataka Samia??
 
Shida ya siasa za nchi hii…. Mtu akipewa uongozi anasahau kabisa kwamba he or she is not the most intelligent person

DRC ina watu wenye pesa… ina watu wenye uwezo wa kupata technology hata nje ya DRC, yeye amewaza manually!!

Unfortunately ndio upeo wake umeishia hapo
Ndugu uliishawahi kufika hata congo yenyewe au unaisoma kwenye vitabu?
 
Tatizo la Heche anajionaga ana akili sana kuliko yoyote, 2010 halmashauri ya tarime ilikuwa chini ya chadema na yeye akiwa diwani, hakuna cha maana chochote walichofanya.
Kama eneo dogo tu wilaya kachemka nchi nzima ataiwezea wapi?
Heche anaakili kuliko nyie nguruwe wa ccm wote ndio maana mmeshindwa kujibu hoja kwanini congo haijawekeza huko kwao wakati wanamapori kuliko maeneo yanayokaliwa na watu. Nguruwe wewe.
 
Heche kakosea. Uwekezaji ni fursa zaidi kuliko asili. Mchaga anaweza acha ardhi kubwa ya urithi kilimanjaro akaenda morogoro kulima.
Wakongo kuwa na ardhi haimaanishi kwamba hawawezi kuja kuwekeza hapa.

Kuhusu Tech, It's not about nation abilities, it's about business opportunities kwa mtu mmoja mmoja.

Kuna mtu ana biashara kubwa China, ila ukiitazama China kiujumla imetuacha mbali, unaweza jiuliza Mtanzania atapeleka nini China? Kwa Tech gani aliyo nayo? Ila wapo Watanzania wamewekeza China.
Kwamba mchaga anafanya uwekezaji kama wa congo, ndio maana huwa nawaita nyie ni nguruwe
 
View attachment 3653552

Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.

Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.

Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Kawa wapo wenye akili kwanini bandari na mwendo kasi tunakabidhi wageni?? kwanini tunaagiza mafuta ya kula njee wakati alizeti inastawi kila mahali na ardhi tunayo tatizo ni nini??
 
Kawa wapo wenye akili kwanini bandari na mwendo kasi tunakabidhi wageni?? kwanini tunaagiza mafuta ya kula njee wakati alizeti inastawi kila mahali na ardhi tunayo tatizo ni nini??
Inaelekea wewe ni mgeni Tanzania na Africa

Hata value chain huzijui
 
Back
Top Bottom