Ukweli ni kuwa DRC haiwezinkuketa tija yeyote kwenye kilimo chetu.Naunga mkono hoja , heche hana hoja
Kutumia kauli zinazoshambulia utu au uwezo wa kiakili wa viongozi badala ya kujenga hoja kwenye sera au maamuzi yao hubadilisha mjadala kutoka kuwa wa kiundani (substance) na kuwa wa kiuhasama (personal attacks). Lugha ya staha huongeza uzito wa ukosoaji na kulinda mshikamano wa kitaifa.
Juzi hapa kipindi ya Bashe akiwa Waziri mlikuja na BRN mkadondokea pua na hakuna la maana mmefanya.
Mkulima anahitaji elimu(agricultural skill),Pembejeo bora,Miundombinu na soko la uhakika zingine ni blahblah za CCM.