Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Kama ni hivyo basi aache washambuliane.
 
Naye àtashughulikiwa, Muulize Magufuli yuko wapi
 
Tuliwaambia hii Kesi inauvua Muhimiri wa Mahakama.
Haya sasa mmebaki kuwa Wakalii tuu na Jazba juu. Chutameni sasa ndio hekima iliyobakia.
Anayekubali kuchutama ni muungwana wa kuzaliwa.
 
Kesi ya Mbowe imewakalia vibaya sasa wameanza maandalizi ya kujihami na hukumu.
 
Tutegemee kuokota maiti zao kwenye sandarusi huko Coco beach

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sasa ni zamu ya Mawakili kupotezwa. Enzi za Magufuli ilikuwa kosa mshtakiwa kuweka Wakili, ilionekana Mawakili hawana uzalendo wanatetea wahalifu. Sasa Jaji ameunga mkono kauli ya Polepole kwamba kuna wahuni walibaki hawakushughulikiwa na Magufuli.
 
Wewe Ni msimamizi Mkuu wa Haki Tanzania. Kauli kuwa "muda wao umekwisha" Ni ya kukandamiza haki ambayo umeapa kuilinda. Kama ulivyoshindwa kijizuia kutoa kauli ya bitisho, mbaya Kama hiyo, Basi na mawakili wako wameshindwa kijizuia.
Jitafakari nafasi uliyoishikilia.

Pili angalia usafi wa Majaji wako.
 
Huwezi kutishia watu kwamba siku zao zina hesabika. Je akifa usiku huu??
Hakuna baba mpumbavu kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…