Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alitakiwa aseme makonda alimwambia nini kuhusu Ben sanane kama yeye Lema anaogopa kusema alichoambiwa na makonda, je huyo makonda aliemfanyia ubaya au pengine kumuua Ben sanane akiulizwa kuhusu hilo ataweza kusema? Yaani muuaji aseme ameua?
Ilitakiwa afichue uovu wa makonda na siyo kumfichia siri kushindwa kufichua siri na kutoa ushahidi ni kushiriki uhalifu.
 
Takataka kama wewe bure!!
 
Hili jitu ni jinga sana ...

Mambo ya kwenye vijiwe vya kahawa unayaweka kwenye vyombo vya habari?

Haya majitu yakiwa kwenye vijiwe vya mbege huwa yanadanganyana sana afu yanaamini huo uwongo...

Hii kenge ikipelekwa mahakamani ithibitishe madai yake watasema linaonewa....

Mjinga akipata nafasi anakua mtu hatari sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…