Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.

Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.

Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.

View attachment 2886672
Kuna utofauti kati ya Siasa na Elimu ndomana wasomi wengi sio wanasiasa... Kwanini? In Jar people voice + Msukuma
 
Yanayosemwa juu ya makonda kama ni Kweli je? Tutakosea kukiita ccm chama Cha majambazi wauwaji muumiani?
 
muovu kaokoka na kuongoka vizuri, ameiona nuru kutoka gizani ...
saivi anaitamani nafasi ya Mungu,
anajihesabia haki na anatamani sana kuhukumu wengine atakavyo yeye....

Tumuombe Mungu atujaalie unyenyekevu atuepushe na roho ya kujikweza na kujiona tu watakatifu na bora zaidi ya binadamu wengine,
Aimen...
 
Lema ni mwendawazimu tu,hivi hajui Mbowe anashirikiana na magenge yanayokula ruzuku kuhujumu waenzao.ye mwenyewe ajiandae.
 
Huna IQ ya kukuwezesha kumjua mtu ana akili au hana,ushahidi ni wewe kuhama MADA iliyowekwa na mleta MADA,unaanza ku-attack personalities,mara Lema ana madeni,sasa inasaidia nini au wewe ni chawa wa mwanadamu meenzako,unaendesha maisha kwa staili hiyo?
Jikomboe.
Umeliona hilo,hao vijana wameamua kujitoa akili ili mradi mkono umeenda kinywani
 
Back
Top Bottom