Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..waandishi wa habari wamuulize Makonda kuhusu tuhuma za utekaji na mauaji dhidi yake.

..tuhuma kama hizo zingekuwa zinasema kuhusu kiongozi wa Chadema waandishi wangemuandama kwa maswali kila wanapopata nafasi.

..waandishi wa habari hapa Tanzania wanaogopa kuwauliza viongozi wa Ccm maswali magumu.
Wanaogopa kupoteza kibarua chao
 
Hakuna kitu niliwashangaa CHADEMA eti kama kusema wawe na mjadala na makonda...ni jambo la ajabu...HUYO MTU NI CRIMINAL DUNIA INAJUA. why uwe na mjadala na mhalifu..CHADEMA iendelee kumwita mhalifu,muujaji, mtekaji...
 
..waandishi wa habari wamuulize Makonda kuhusu tuhuma za utekaji na mauaji dhidi yake.

..tuhuma kama hizo zingekuwa zinasema kuhusu kiongozi wa Chadema waandishi wangemuandama kwa maswali kila wanapopata nafasi.

..waandishi wa habari hapa Tanzania wanaogopa kuwauliza viongozi wa Ccm maswali magumu.
Makonda akiulizwa Atakataa tu hizo tuhuma ili isiharibu reputation yake, kwahiyo mwenye uwezo wa kuzisema ni shahidi ambae ni Lema yeye ndo anatakiwa aweke wazi
 
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.

Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.

Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.

View attachment 2886672
Kasi ya Makonda imewapoteza CHADEMA. Inawakumbusha pale alipowabana wauza madawa. Lema ni mpumbavu tu
 
Hakuna kitu niliwashangaa CHADEMA eti kama kusema wawe na mjadala na makonda...ni jambo la ajabu...HUYO MTU NI CRIMINAL DUNIA INAJUA. why uwe na mjadala na mhalifu..CHADEMA iendelee kumwita mhalifu,muujaji, mtekaji...
Lingekuwa ni kosa la jinai
 
Fanya uchunguzi, nina wasiwasi kama kichwani uliwekewa akili
Huna IQ ya kukuwezesha kumjua mtu ana akili au hana,ushahidi ni wewe kuhama MADA iliyowekwa na mleta MADA,unaanza ku-attack personalities,mara Lema ana madeni,sasa inasaidia nini au wewe ni chawa wa mwanadamu meenzako,unaendesha maisha kwa staili hiyo?
Jikomboe.
 
Hivi Lemma amemaliza kulipa madeni yake? Karibu benki zote zinamdai wakati akiwa ughaibuni, na nyumba zake Dar na Arusha ilikuwa zipigwe mnada.

Pia alimponza kaka yake aliyekuwa akimiliki Villa Park Mwanza mpaka akafungiwa. Aliigeuza Villa Park ofisi ya Chadema ya Mkoa, wakati Villa Park alikuwa kapanga katika eneo la CCM.
Un gi weche madongo!!!
 
Paukwa……..Pakawa

Basi ilikuwa hivi na vile na vile, vile vile……….

Hivi CDM wataelewa lini wapiga kura hawana interest na hadithi mbaya za awamu ya sita kama sehemu yao ya maamuzi.
 
Back
Top Bottom