Alichosema Sugu, kama ni kweli wanatongozwa na wao kukubali, hao ni malaya wa kisiasa na wanachofanya ni tabia ya umalaya malaya alioizungumzia Baba wa Taifa.
Ila sio wote wanaohamia CCM wametongozwa, kuna wengine ni wamejitambua, hawa waliojitambua, wasibezwe!.
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
Mjinga ni yule anashawishi ujinga kufanyika, katika hili KK hakwepi sifa hii. Nenda Tanzania Visiwani nenda sehemu yoyote ile kwenye siasa makini za ushindani, huwezi kukuta ujinga kama huu wa kuwanunua wapinzani wako ili waunge juhudi.
Upuuzi huu umeandikwa kwa wino wa "kinyesi cha kitimoto" ambao watoto na wajukuu wao watakuja kuwadharau daima, upuuzi ambao waasisi wa taifa letu ijapokuwa walikuwa ndio waasisi wa CCM, lkn katu wasingelithubutu kuutenda.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Pascal Mayalla unasimamia maneno yako? Nani mwenye jeuri ya kuacha marupurupu baada ya kutumikia ubunge/udiwani kwa miaka minne eti kisa amejitambua na kuamua kurudi chama mbadala ambacho kwa vyovyote atapoteza haki zake zote alizotumikia kwa miaka minne? Nakuelewa sana ila; Je, inaingia akilini?
Usiusemee moyo dogo. Hao wote waliohama walikuwa makamanda kwenu na mliwaamini ndio maana mliwapa madaraka. Hata Sugu ni suala la muda tu. Na kwa CCM, subra ndio msingi wa mafanikio.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Usiusemee moyo dogo. Hao wote waliohama walikuwa makamanda kwenu na mliwaamini ndio maana mliwapa madaraka. Hata Sugu ni suala la muda tu. Na kwa CCM, subra ndio msingi wa mafanikio.
Kama mazuzu. Mi sijawahi kuona waliohama wakiwa wachangamfu. Wanakuwa wamezubaazubaa kama wamekamatwa ugoni au kama Waethiopia waliokamatwa Morogoro. Ni kama wanatupiwa nguvu ya giza fulani. Bahati mbaya sina picha.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.