Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

Alichosema Sugu, kama ni kweli wanatongozwa na wao kukubali, hao ni malaya wa kisiasa na wanachofanya ni tabia ya umalaya malaya alioizungumzia Baba wa Taifa.

Ila sio wote wanaohamia CCM wametongozwa, kuna wengine ni wamejitambua, hawa waliojitambua, wasibezwe!.

P
Acha uongo! Wenye kujielewa wawe msitari mmoja na malaya kivp yani.
 
Mjinga ni yule anashawishi ujinga kufanyika, katika hili KK hakwepi sifa hii. Nenda Tanzania Visiwani nenda sehemu yoyote ile kwenye siasa makini za ushindani, huwezi kukuta ujinga kama huu wa kuwanunua wapinzani wako ili waunge juhudi.

Upuuzi huu umeandikwa kwa wino wa "kinyesi cha kitimoto" ambao watoto na wajukuu wao watakuja kuwadharau daima, upuuzi ambao waasisi wa taifa letu ijapokuwa walikuwa ndio waasisi wa CCM, lkn katu wasingelithubutu kuutenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mpinzani amekuwa fungu la nyanya basi hata nchi wanaweza kuuza.
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka asemaje?? taifa la wajinga

Kwani kumuita mtu mjinga kama ana sifa hiyo ni tusi? Au mtu anayeandika uzushi akiitwa mashine ya umbea ni tusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla unasimamia maneno yako? Nani mwenye jeuri ya kuacha marupurupu baada ya kutumikia ubunge/udiwani kwa miaka minne eti kisa amejitambua na kuamua kurudi chama mbadala ambacho kwa vyovyote atapoteza haki zake zote alizotumikia kwa miaka minne? Nakuelewa sana ila; Je, inaingia akilini?
Huyo mzee wa kuuma na kupulizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama malaya malaya (macenaries)
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
SIO WAJINGA WAJINGA TU BALI NI MA PUMBAVU MA TAAHIRA, WACHUMIA TUMBO NA WEHU!!!!!
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Alitamka mwaka huu hawatogawa t-shirts na kofia bure ni kwa sababu hela ziko bize kuwanunua hao wasio maono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
mbunge akitumia lugha ya kihuni dhidi ya kiongozi wa chama mhuni hapo uhuni umekuwa formalized. it's even. no problem kabisa!
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!

Pata maana ya 'ujinga' kutoka kwa Baba wa Taifa la Tanzania.

Back
Top Bottom