Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Eti Daktari wa Uchumi my foot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuComment zingine kweli zinachosha, ati anamchafua Rais, hivi anamchfuaje Rais ambaye wala hakuchaguliwa katoka ileile system chafu? Si ndiye alisema hata mkipiga kula upinzani sisi tutatawala? Ana usafi gani huyo?
Kweli huyu jamaa ana bahati ya kuzaliwa.Kama Kuna watu wenye bahati juu ya uso wa nchi basi ni huyu Mwigulu Nchemba.
Mie sijawahi kabisa kuona uelewa wa mwigulu. Iwe ni siasa, uzalendo ambao Kila mara anavaa bendera, na hata kujieleza tu. Siasa zake siyo za kiitikadi( ideology Bali za fursa) ndo maana baada ya kuwa shabiki wa hayati Magufuli alimgeuka Kwa kukandia utawala wake pindi tu alipokufa....
Ongeza sautiMwiguli is bigger than CCM itself. Madam sijui atafanya nini?
CCM yote kwa ujumla imeoza, haina hadhi ya kuliongoza taifa! Watu kama Mwigulu, Ndugai etc hawafai hata kusafisha vyoo clubs, they are rotten, total rubbish kabisaMh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?....