Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Angalizo makini na ushauri mzuri unaopaswa kutekelezwa haraka, hususan kwa Nchemba kujiuzulu au kutenguliwaMh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi, Kisha siku hiyo hiyo jioni katika kipindi cha tv anazungumza haya?...
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
