Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

Angalizo makini na ushauri mzuri unaopaswa kutekelezwa haraka, hususan kwa Nchemba kujiuzulu au kutenguliwa

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Heeeeh haki ya kujieleza ipo wapi jamani mlioipigania enzi zile🤔! Mwigulu ametumia haki yake ya kikatiba kueleza mtazamo wake! SSH akimtumbua basi ni dictator full stop😡!
Mzee tofautisha haki ya kujieleza na majukumu ya utendaji. Mwigulu kama mtendaji anatetea maamuzi aliyofanya kuhusu tozo za miamala.
 
Mwigulu anamdharau huyo mama maana anasema amepata urais wa bahati nasibu. Nina uhakika Mwigulu akiwa rais wa nchi hii lazima nchi damu imwagike. Mwigulu na Magufuli wanafanana kwa kila kitu kasoro tarehe ya kuzaliwa.
 
Kipindi kiliandaliwa kabla ya jana asubuhi.

Mazungumzo ya jana hayahusiani na kipindi maana kipindi hakikua live jana.

Vitu vingine hutakiwi kua na akili kubwa kujua hilo.
 
Heeeeh haki ya kujieleza ipo wapi jamani mlioipigania enzi zile[emoji848]! Mwigulu ametumia haki yake ya kikatiba kueleza mtazamo wake! SSH akimtumbua basi ni dictator full stop[emoji35]!
Mkuu pale hajaongea kama kutoa maoni yake
Pale kaongea kama waziri/mamlaka

Inamaana Raisi akisema kuanzia sasa hakuna kulipa kodi utasema anatoa maoni yake ?
 
Sasa hv kila mtu ni mkubwa,kila kiongozi anatunisha misuli ndio maana JPM alikua anawatumbua watu km hawa
 
Asante sana Jasusi nafikiri kitengo bado wako usingizini....enzi za Julius huyu angekuwa kwao anachunga mbuzi na kuripoti kwa balozi wa nyumba kumi kumi...
 
Ha ha ha.
Namkumbuka mwigulu alipotaka kumfunga John Mnyika kwa kumzushia akiwa bungeni kuwa Mnyika kamtumia sms ikisema kuwa atamuua mwigulu.

Kama sio Mabere Marando Leo hii Mnyika angekua mfungwa kwa kosa ambalo hakufikiria kulifanya.

Namkumbuka Mwigulu alipotaka kumfunga Lwakatare alipokua Chadema kwa kosa la Ugaidi akihojiwa kimtego na deus Malya.
Kama sio Tundu Lissu Leo hii Lwakatare angekua jela kwa Makosa ya kubambikiwa na Mwigulu.

Namkumbuka Mwigulu kwa kuliongoza genge hatari Sana lililokua ndani ya kitu kinachoitwa Green Guard.
Nyuma ya hili genge Kuna watu wengi Sana hatunao.

Kamanda wa genge Hili aliitwa Field marshal Mwigulu.

Field marshal alijaribu kila awezalo kuiua Chadema lakini alikwama.

Chadema Wana msemo wao,

"Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu"
 
Hajamalizia kutugombanisha watz anahamia burundi na wale sifa mama hawanaga jambo dogo, ngoja tuangalie kwanza
 
Mwigulu anamdharau huyo mama maana anasema amepata urais wa bahati nasibu. Nina uhakika Mwigulu akiwa rais wa nchi hii lazima nchi damu imwagike. Mwigulu na Magufuli wanafanana kwa kila kitu kasoro tarehe ya kuzaliwa.
😲😲Mkuu Tindo ni wapi Komredi Dr.Mwigulu amemdharau mh.Rais SSH?!!
 
Na awahamishie Burundi
 
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone. Mwenye nguvu na amtoe Mwigulu anatuumiza na kauli zake.
Msiwe na wasiwasi ndg Wananchi Watanzania,na wala msikimbilie Burundi,Wakati utafika Mwigulu nae atatoka hapo iwe kwa kupenda au kwa kutokupenda,muda ni Mwalimu mzuri sana!!
 
Heeeeh haki ya kujieleza ipo wapi jamani mlioipigania enzi zile[emoji848]! Mwigulu ametumia haki yake ya kikatiba kueleza mtazamo wake! SSH akimtumbua basi ni dictator full stop[emoji35]!
Kuna tofauti ya Kauli za Kiongozi na Raia wakawaida labda kama hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…