Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Kwa hiyo Sasa hivi Waisilamu nao wamegawanyika!? Magufuli ana waisilamu wake na Lissu pia ana waisilamu wake!! Patamu hapo!! Alafu Waisilamu wakiingia sehemu lazima pachangamke sijui kwa nini!? Siku zote Lissu anawapandisha Majukwaani akina Baba Askofu lakini watu hata hawana habari! Lissu kampandisha Sheikh Ponda kidogo tu, Tz imetingishika tayari,kila mtu anaongea lake!!
 
Hao mashekhe na wale watumishi wa kikristo wa ccm wamejisahau sana. Wanataka ccm pekee ndo ipigiwe chapuo.
Wanasababisha waumini wanaoona uovu wa watawala wakose imani na hizi dini
 
Majigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28

Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi😁😁😁😁😁

Maendeleo hayana vyama
mama D usichukulie kirahisi, hata kama NEC, TISS polisi , JWTZ vitawalinda kuiba (maana genuine bollot results hamuwezi kupita), kumbuka kuna jumuiya ya kimataifa, itawabana mtamtangaza mshindi! Ya Jammeh nadhani unayakumbka vema...
 
Hahaha u sheikh wa mkoa alioewa na nani?!

Wame beep sasa sheikh Ponda anawapigia kabisa.
 
mama D usichukulie kirahisi, hata kama NEC, TISS polisi , JWTZ vitawalinda kuiba (maana genuine bollot results hamuwezi kupita), kumbuka kuna jumuiya ya kimataifa, itawabana mtamtangaza mshindi! Ya Jammeh nadhani unayakumbka vema...

Tuanze kuaanda vitambulisho vyetu Tukapige kura

Majigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28

Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi😁😁😁😁😁

Maendeleo hayana vyama
 
Hawa wanaoitwa wahadhiri walishapuuzwa na wananchi kitambo
 
Waislamu hatupo upande wa wauaji,tupo na Lissu [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
 
Hao wanahangaika bure Kati yao na Ponda nani anakubalika na kusikilizwa na waislamu
 
ANAHITAJIKA kiongozi wa Taifa si wa Waislamu pekee, Kikwete ndie aliewaleta mashekhe wa Uamsho bara jpm alaumiwa Bure, sijui wakatoliki wasiposhinda huu uchaguzi itakuwaje
😀😀 Me nawaza tu,iwapo viongozi wa dini ya kiislamu wataendelea kuitumbukiza dini yao moja kwa moja kwenye siasa za muda bila kuwa na exit plan, baada ya huu uchaguzi huu kuisha na mahindi akawa si wa upande wao itakuwaje🤔?

Hata kama ni mimi, nisingevumilia hiki kinachoendelea, na matokeo yake yataonekana baada ya uchaguzi huu.
 
Dini inapochanganyana na siasa matokeo huwa yana changamoto sana
 
Huwezi ukafunga ndoa na ccm ukabaki msafi cheki viongozi wa dini walivyochafuka hawana tofauti na polisi kwa kuacha haki na kusimama upande wa watesaji
Mimi nimeshasema, kwa hiki kinachoendelea juhudi za kukuaminisha ulimwengu kuwa uislam haurandani na ugaidi zitakuwa ngumu sana.
 
Wewe kaa kimya hujui kinachoendelea nchini au akili yako ni mgando.
 
mama D usichukulie kirahisi, hata kama NEC, TISS polisi , JWTZ vitawalinda kuiba (maana genuine bollot results hamuwezi kupita), kumbuka kuna jumuiya ya kimataifa, itawabana mtamtangaza mshindi! Ya Jammeh nadhani unayakumbka vema...
Duh...eti jumuiya ya kimataifa itawabana...umekariri ya Jammeh...duh...Tanzania bado tuko nyuma Sana kwa issues za kimataifa...umekaririshwa tu ya Jammeh...na inawezekana Wala hujui huyo alikuwa Rais wa wapi...wishful thinking...Sasa sikiliza: hata akiletwa beberu Amsterdam asimamie uchaguzi CCM itashinda kwa kishindo...Jumuiya ya kimataifa wamealikwa kuja kuangalia uchaguzi...na hii siyo Mara ya Kwanza Jumuiya ya kimataifa kualikwa...hakutakuwa na wizi wa kura...CCM itashinda kihalali Kama ambavyo imekuwa kwa chaguzi zote zilizopita...wewe na wenzako mumekaririshwa kuwa wizi wa kura hufanyika...hakuna kitu Kama hicho...
 
Neno la Mwenyezi Mungu linasema "waheshimuni viongozi wenu maana wanakesha kwa ajili yenu". Ndugu yangu, tenda wajibu wako, hukumu mwachie Mwenyezi Mungu.
 
Neno la Mwenyezi Mungu linasema "waheshimuni viongozi wenu maana wanakesha kwa ajili yenu". Ndugu yangu, tenda wajibu wako, hukumu mwachie Mwenyezi Mungu.
Kwa dini yetu hakuna neno hilo

Kuhusu kuhukumu mimi sitoi hukumu ila tunalia na kutoa wito huu.

Masheikh wetu waache kuteswa tunataka wapelekwe mahakamani kama wanahatia wahukumiwe na kama laa basi waachiwe hio ni hukumu?

Unasema hivyo kwa sababu hayakuhusu wala hayakukeri Sana Sana unafurahia kusikia masheikh wanateswa na kuhasiwa kwa kuminywa korodani

Dini yangu inasema Ukiona jambo ovu zuia kwa mkono. Au kwa neno au kwa kuchukua hio dhulma
Wanafiki wa BAKWATA hawasemi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…