Masahihisho : Kauli ya Shehe Ponda ililenga waislam wanaomuogopa Mungu , haikulenga waislam wachumia tumboView attachment 1604268
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu.
Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu.
Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe
Kuwepo kwa Alhad kwenye ile press conference kumeondoa imani kidogo iliyokuwepo kwa wale Wahadhir waliojitokeza kupinga kauli ya Ponda. Alhad ni mtu anayependa sifa sana. Yeye alishalikoroga basi angalau angekaa pembeni asiwepo kwenye ule mkutano. Lakini ili aonekane na hao wanaomtuma kua yeye ndio kawakusanya kina Mazinge, Kipozeo na wengine basi akaona aendelee kuuza sura.!Sijawahi kuona hao wahadhiri wakiita press conference kuzungumzia hali za Masheikh wanaoozea magerezani.
Kama hilo la kutetea maslahi ya waislamu limewashinda basi hawana moral authority ya kumsema Ponda
Lissu ndo mgombea aliyeonyesha kukerwa na uonevu dhidi ya masheikh, huyo ndiye anayefaa kuungwa mkono na waislamu wote nchini.
Kitendo cha hawa Masheikh kumshirikisha Alhadi kwenye hiyo press conference, mtu anayempigia kampeni Magufuli waziwazi tena kuomba dua zinazokiuka misingi ya uislamu inaonyesha wao wenyewe hawako serious na wanachokisema maana wana double standard!
Wachumia tumbo sasa wanashinda na kula kwa polepoleMasahihisho : Kauli ya Shehe Ponda ililenga waislam wanaomuogopa Mungu , haikulenga waislam wachumia tumbo
Na yule shehe aliyeapa kikristo alitumwa na nani?Ponda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Wananchi wote watamiminika kumwondoa wakala wa beberu.Tunashukuru kwa kutuunga mkono. Tusijali itikadi zetu lengo ni kumuondoa huyu nyoka CCM
Ponda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Acha kupindisha. Ukisema Waislamu au Wakristu, hiyo ni jumuisho. Huhitaji kusema wote au wachache.Sijamsikia pale Dodoma akisema "waislamu wote" alisema sisi waislamu. Na kudhibitisha hilo alipowauliza walisema ndio! Hivyo wale waliokuwa pale wamekubali
Kaka usemacho ni sahihi kabisa. Hao siyo masheikh. Hao ni masheikh ubwabwa. Hawana moral authority ya kumsema sheikh Ponda Issa Ponda. Masheikh ubwabwa hao kwa sbb kwa nini ktk kutetea haki za Waislamu huwa hawaonekani?Sijawahi kuona hao wahadhiri wakiita press conference kuzungumzia hali za Masheikh wanaoozea magerezani.
Kama hilo la kutetea maslahi ya waislamu limewashinda basi hawana moral authority ya kumsema Ponda
Lissu ndo mgombea aliyeonyesha kukerwa na uonevu dhidi ya masheikh, huyo ndiye anayefaa kuungwa mkono na waislamu wote nchini.
Kitendo cha hawa Masheikh kumshirikisha Alhadi kwenye hiyo press conference, mtu anayempigia kampeni Magufuli waziwazi tena kuomba dua zinazokiuka misingi ya uislamu inaonyesha wao wenyewe hawako serious na wanachokisema maana wana double standard!
Majigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28
Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Maendeleo hayana vyama
Sisi waislamu tunamkubali ponda kuliko muftPonda sio mufti, hana mamlaka ya kuwazungumzia waislam wa Tanzania, mwambieni awe anajizungumzia mwenyewe.
Sisi waislamu wa kweli ambao tunaguswa na udhalim wanaofanyiwa mashekh zetu jela bila kupelekwa mahakamani tunamuunga mkono sh PondaSidhani Kama Itakua Sahihi Yeye Kuwaongelea Waislam Ikiwa Sio Kiongozi Rasmi...
Issa Ponda Ni Mwanazuoni Mzuri Lakini Mihemko ya Kisiasa Imekua Ikimchukua Mara Kwa Mara Na Kuifanya Elimu Aliyonayo Kuwa Useless Kwa Hapa Hapana Ajipange Na Waislam Sio Wakupelekwa Hivo!!
Kwa mzee lowasa kesha Pata dawa?Ponda dawa yake ipo jikoni