The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
CCM lini mmeogopa matusi. Wakati mnamuita Lowasa marehemu na kupiga push up majukwaani hizo hazikuwa siasa za matusi!!?Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Nakutaka udada ...yaani ww ni mtamu mno ! Tokea niingie JF miaka minne iliyopita ninakuelewa sana.Kassim Majaliwa anaelewa ni nini maana ya kampeni?
Halafu Tundu Lisu ni wakili. Mawakili ili wachukue point kwenye kesi lazima akuchome hita mwanza "Anaku- provoke" halafu ukipaniki ndio anakupanga na maswali yanayotengeneza point.Walimdekeza mgombea wao kwa miaka mitano sasa ulingo wa huru unamuuia ugumu.
Kuna li jamaa limoja huwa linasema.Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao...
Majaliwa amesahau kama shangazi zake almanusura wachezee kipigo.Ngumbaru la kahe.
Mbona jiwe anatukana watu hadi kutaka kupiga mashangazi?
Tunamdharau sana na ndio maana anatukanwa tu.
Wametaitiwa kisawasawa.Kama serikali ilitakia kuanza na wakina musiba
And unakumbuka jinsi kibajaji alivyokuwa anamtukana lowasa? Tena matusi makubwa ya kumdhalilisha mbona hakuna mtu alikemea....
Hata mkapa aliwahi kusema wapinzani ni malofa Hilo ni tusi pia
So kwa Sasa watulie tu
Magufuli alisemaHalafuu..
Hawa wa CCM hawachafuliwi, bali wanakumbushwa uchafu walioufanya wakiwa madarakani... kwa mfano, kusema JPM aliuza nyumba za serikali kwa utaratibu alioutumia ni kumchafua..!? Au kusema JPM alisema tupige mbizi kati ya Kigamboni na Ferri ni kimchafua!? Kwani hakuyasema au..!?
Magufuli oyeeeeUmpende Usimpende, Ashinde Asishinde, Upepo Unavuma na siasa za Tanzania hazitabaki "salama". Tutajua mengi kipindi hiki.
Utashindana na hoja utajibiwa na risasi,mapanga na kuvunjwa na wasiojulikani ambao ni miccmNchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Sio uzalendoHata kusema wafanyakazi hawaja ongezwa mshahara ni kuwachafua pia viongozi wa ccm au nakosea?
Uzalendo huoHivi yale maneno ya boss mkubwa, kwamba wapinzani wakichumua madaraka watavunja madaraja na kuyauza kama skrepa... SIYO KUWACHAFUA WAPINZANI..!?? Au uchafu ni upande mmoja!?
Umesoma mpaka kiwango kipi cha Elimu?Ndiyo maana sikupata madaraka!
Hiki Domo la Lisu nigelifunga kufuri zamani!
Mama Samia leo amewaasa UWT mwaka huu wana CCM wote wapige kampeni, kumbe kila uchaguzi usiku wana kula bata mchana ndiyo wanapiga bla bla.Wametaitiwa kisawasawa......
Hata vitanda havilaliki kule Chamwino 😁 😀
Mbona mh. pombe mara nyingi tu anatukana wapinzani lkn hamumkatazi?Kampeni ni kuongea sera zako sio mtu
Ndio Maana media hazitaki kutangaza vitu vyake upinzani haeaongelei sera wanaongelea Watu
Kwani unayataka hayo madaraka..!?Ndiyo maana sikupata madaraka!
Hiki Domo la Lisu nigelifunga kufuri zamani!
Kampeni ni Vita silaha yeyeto inatumiwa ruksa thus baada ya kampeni dirisha ufungwa siasa uwekwa pembeni.Kassim Majaliwa anaelewa ni nini maana ya kampeni?
Basi muacheni aendelee kjidhaliliaNchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.