Uchaguzi 2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

Uchaguzi 2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
CCM lini mmeogopa matusi. Wakati mnamuita Lowasa marehemu na kupiga push up majukwaani hizo hazikuwa siasa za matusi!!?
 
Walimdekeza mgombea wao kwa miaka mitano sasa ulingo wa huru unamuuia ugumu.
Halafu Tundu Lisu ni wakili. Mawakili ili wachukue point kwenye kesi lazima akuchome hita mwanza "Anaku- provoke" halafu ukipaniki ndio anakupanga na maswali yanayotengeneza point.

Kwahiyo Majaliwa akae kwa kutulia. Asubiri muziki hiyo ni pasha tu.
 
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao...
Kuna li jamaa limoja huwa linasema.

Maendeleo hayana chama.

Halafu baada ya muda linawaambia raia wakitaka wapate maendeleo wachague lichama lake.

Sijui ni akili gani huwa zinatumika kwenye kuongea hayo.
 
Magufuli pumzi imekata mapema sana,anawapiga nikwara wapunzani wake kwa kinywa cha mlamba viatu wake Majaliwa.

Homeboy Majaliwa unatudhalilisha Wamwera sisi ni watu wenye msimamo.
 
Kama serikali ilitakia kuanza na wakina musiba

And unakumbuka jinsi kibajaji alivyokuwa anamtukana lowasa? Tena matusi makubwa ya kumdhalilisha mbona hakuna mtu alikemea....

Hata mkapa aliwahi kusema wapinzani ni malofa Hilo ni tusi pia

So kwa Sasa watulie tu
Wametaitiwa kisawasawa.

Hata vitanda havilaliki kule Chamwino 😁 😀
 
Halafuu..
Hawa wa CCM hawachafuliwi, bali wanakumbushwa uchafu walioufanya wakiwa madarakani... kwa mfano, kusema JPM aliuza nyumba za serikali kwa utaratibu alioutumia ni kumchafua..!? Au kusema JPM alisema tupige mbizi kati ya Kigamboni na Ferri ni kimchafua!? Kwani hakuyasema au..!?
Magufuli alisema

Serikali haijaleta tetemeko

Napo watasema ni kumchafua
 
Kuna li jamaa limoja huwa linasema
Maendeleo hayana chama
Halafu baada ya muda linawaambia raia wakitaka wapate maendeleo wachague lichama lake.

Sijui ni akili gani huwa zinatumika kwenye kuongea hayo.
Hahaaaaaa. 😛
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Utashindana na hoja utajibiwa na risasi,mapanga na kuvunjwa na wasiojulikani ambao ni miccm
 
Wametaitiwa kisawasawa......

Hata vitanda havilaliki kule Chamwino 😁 😀
Mama Samia leo amewaasa UWT mwaka huu wana CCM wote wapige kampeni, kumbe kila uchaguzi usiku wana kula bata mchana ndiyo wanapiga bla bla.
 
Kampeni ni kuongea sera zako sio mtu
Ndio Maana media hazitaki kutangaza vitu vyake upinzani haeaongelei sera wanaongelea Watu
Mbona mh. pombe mara nyingi tu anatukana wapinzani lkn hamumkatazi?

Akiambiwa ni kosa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Kijijini kwake ni tusi?

Akiambiwa kujenga hospitali ya rufaa Kijijini kwake sio sawa, hilo ni tusi?

Embu tulieni dawa ya raisi mtarajiwa iwaingie vzr basi
 
Kassim Majaliwa anaelewa ni nini maana ya kampeni?
Kampeni ni Vita silaha yeyeto inatumiwa ruksa thus baada ya kampeni dirisha ufungwa siasa uwekwa pembeni.

Majaliwa asiharibu image yake ameijenga kwa gharama, huu ni wakati wa mavuno
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Basi muacheni aendelee kjidhalilia
 
Back
Top Bottom