The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
CCM lini mmeogopa matusi. Wakati mnamuita Lowasa marehemu na kupiga push up majukwaani hizo hazikuwa siasa za matusi!!?Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.