Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.
Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?
Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka ya kila namna ya kumuwezesha kubakia madarakani hata kama wananchi hawataki.
Bado tuna safari ndefu sana.