Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Hayo yanawezekana kwenye nchi zenye mifumo ya demokrasia. Sisi hatuna. Nyerere alikataa mfumo wa demokrasia na mpaka leo haupo.Mabadiliko kwenye sanduku la kura mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanawezekana kwenye nchi zenye mifumo ya demokrasia. Sisi hatuna. Nyerere alikataa mfumo wa demokrasia na mpaka leo haupo.Mabadiliko kwenye sanduku la kura mkuu.
Kuendelea kumlaumu Nyerere asiyekuwepo haisaidii kitu, muhimu ni kuchukua hatua za kuimarisha hiyo demokrasia mnayoitaka.Hayo yanawezekana kwenye nchi zenye mifumo ya demokrasia. Sisi hatuna. Nyerere alikataa mfumo wa demokrasia na mpaka leo haupo.
Kuendelea kumlaumu Nyerere asiyekuwepo haisaidii kitu, muhimu ni kuchukua hatua za kuimarisha hiyo demokrasia mnayoitaka.
Tatizo huo mzigo wa kupigania demokrasia wameachiwa wapinzani pekee, raia wengine wapo bize wanatafuta maisha.Hatua gani unataka zichukuliwe? Unaona vyama vya upinzani vinasambaratishwa, uchaguzi unavurugwa mchana kweupee, ukiatandamana wanakupa vilema halafu wewe unasema tuimarishe demokrasia. Kazi kweli.
Tatizo huo mzigo wa kupigania demokrasia wameachiwa wapinzani pekee, raia wengine wapo bize wanatafuta maisha.
Kupaza sauti za kudai demokrasia pale inapokiukwa kwa makusudi.Unataka wananchi wachukue hatua gani?
Kupaza sauti za kudai demokrasia pale inapokiukwa kwa makusudi.
Nikuulize swali jepesi tu mkuu?Wapaze sauti wapi? Wakiingia barabarani kuandamana wanapigwa. Hao wapinzani wanavurugwa mpaka wanakimbia nchi. Hakuna demokrasia kwa sababu Nyerere aliikataa.
UlizaNikuulize swali jepesi tu mkuu?
Demokrasia Marekani na Ufaransa waliipata kwa njia gani ?🤔Uliza
Walichapana. Siye Nyerere alitupiga marufuku kumiliki silaha. Alijua kuna siku tutamchoka akaogopa.Demokrasia Marekani na Ufaransa waliipata kwa njia gani ?🤔
Je Nyerere mpaka sasa bado yupo madarakani ?🤔Walichapana. Siye Nyerere alitupiga marufuku kumiliki silaha. Alijua kuna siku tutamchoka akaogopa.
Hayupo lakini mfumo umebaki na unawalinda waliopo madarakani.Je Nyerere mpaka sasa bado yupo madarakani ?🤔
Je wenye dhamana ya kuuondoa huo mfumo ni wakina nani?🤔Hayupo lakini mfumo umebaki na unawalinda waliopo madarakani.
Hakuna mwenye dhamanaJe wenye dhamana ya kuuondoa huo mfumo ni wakina nani?🤔
Wananchi wamepokwa madaraka yao ndiyo maana anakuwa na uthubutu wa kutoa majibu ya karaha kiasi hicho.Kuhoji idadi ya safari ni uzwazwa, anaenda kufanya nini nje na matokeo ya safari hizo je tunayaona?
Hakuna dharau ama lugha mbaya ametumia ila katumia lugha ile ile mtumiayo ikija kwenye kumsema kuhusu safari, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu.................
Basi inapaswa sisi wananchi wa Tanzania tuliohai sasa hasa hasa vijana tuwe na dhamana ya kuuondoa huu ukiritimba wa CCMHakuna mwenye dhamana
Wamepokwa vipi wakati yupo kwa mujibu wa sheria pale alipo?Wananchi wamepokwa madaraka yao ndiyo maana anakuwa na uthubutu wa kutoa majibu ya karaha kiasi hicho.
Yaani wenye nchi (wananchi) wanataka apunguze safari za nje halafu jibu lake linakuwa mkaa??
Hujui? Ama kweli watanzania walio wengi ni wajinga. Rais anaposafiri kwenda nje ya nchi mamilioni ya shiling yanatupotea kulipia nauli na posho. Fedha hizi zingeweza kufanyia Jambo lingine kubwa lenye maslahi mapana kwa taifa.Na wewe ama wananchi wenzio,nini kinawaumiza ama kinakwama akitoka?