Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

Kuhoji idadi ya safari ni uzwazwa, anaenda kufanya nini nje na matokeo ya safari hizo je tunayaona?
Hakuna dharau ama lugha mbaya ametumia ila katumia lugha ile ile mtumiayo ikija kwenye kumsema kuhusu safari, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu.................
 
Heshima haiji bila kupigana kama walivyofanya ulaya watawala na watawaliwa walipigana ndipo wakapata mifumo ya haki na kuwekea mipaka yaani mtawala ukichezea kodi za wananchi utashugulikiwa upotee kabisa na mwananchi usipolipa kodi utashugulikiwa hadi uchakae.
Hiki ni kitu pia Mimi nilitaka kuandika watu wanaziona Marekani, Ufaransa, China, England, Russia, hizi raia walipigana na watawala mpaka zikafika hapa zilipo kulikuwa na America revolution, Russian revolution, China revolution, European revolution zilizopelekea baadhi ya famle kung'oka na zengine kupunguziwa mamlaka, France revolution watu walichoshwa na tawala mbovu na zenye madaraka mengi ndipo wakaingia barabarani kuzitoa hizo tawala na baadhi ya tawala zilizobaki zilipunguziwa mamlaka . Leo hii CCM hipo Ila watu wanategemea sanduku la kura na katiba mpya ili CCM ikose nguvu kitu ambacho akiwezi kutokea kamwe. Mpaka pale raia tutakapo choka na kusema enough is enough lazima tuwatoe CCM kwa njia ya maandamano makubwa au kwa njia ya kuingia msituni na kupigana Vita vya wenyewe Kati ya Watawala [ CCM ] na Watawaliwa [ wananchi walio wengi ] ndio huo ukombozi waliowengi wanaouota ndio utapatikana
 
Heshima haiji bila kupigana kama walivyofanya ulaya watawala na watawaliwa walipigana ndipo wakapata mifumo ya haki na kuwekea mipaka yaani mtawala ukichezea kodi za wananchi utashugulikiwa upotee kabisa na mwananchi usipolipa kodi utashugulikiwa hadi uchakae.
Hii wakati mwingine ni sawa
 
Hiki ni kitu pia Mimi nilitaka kuandika watu wanaziona Marekani, Ufaransa, China, England, Russia, hizi raia walipigana na watawala mpaka zikafika hapa zilipo kulikuwa na America revolution, Russian revolution, China revolution, European revolution zilizopelekea baadhi ya famle kung'oka na zengine kupunguziwa mamlaka, France revolution watu walichoshwa na tawala mbovu na zenye madaraka mengi ndipo wakaingia barabarani kuzitoa hizo tawala na baadhi ya tawala zilizobaki zilipunguziwa mamlaka . Leo hii CCM hipo Ila watu wanategemea sanduku la kura na katiba mpya ili CCM ikose nguvu kitu ambacho akiwezi kutokea kamwe. Mpaka pale raia tutakapo choka na kusema enough is enough lazima tuwatoe CCM kwa njia ya maandamano makubwa au kwa njia ya kuingia msituni na kupigana Vita vya wenyewe Kati ya Watala [ CCM ] na Watawaliwa [ wananchi walio wengi ] ndio huo ukombozi waliowengi wanaouota ndio utapatikana
Wanapewa mafuta bure KILA v8 KILA mwezi hawawezi jua effect ya ongezeko la bei ya mafuta kwenye maisha ya walamba chumvi, matatizo ya jamii hayawahusu wao upewa KILA kitu bure tena kwa kusaza wao ujiamulia kukopa tu sisi ndo tutalipa mikopo bila kufaidika nayo,wanapiga ufisadi na awafungwi, Hakuna sheria inayoweza mfunga fisadi nchini,jela ni kwa ajili ya watu masikini wasio na pesa za kununua UHURU wao.
Heshima haiji bila kupigana.
 
Wa kumlaumu ni Nyerere aliyejenga mfumo na katiba iliyopo.
 
Ndio hivyo alafu wanajazana wapumbavu humu sijui wanalipwa kutwa kuwa lamba makalio watawala na kuwa machawa wao kila muda Ni nyuzi za kuwasifia hata Kama wanakosea kwa aina hii ya mfumo ambao wanufaika ni wachache na wengi hawanufaiki hakika maendeleo tutaendelea kuya sikia tu marekani , China , ulaya na nchi zengine ambazo raia wake wanajitambua na hawana uoga wakukubali kufa ilimradi kizazi chao kinufaike na maandamano na mapinduzi yao yaliyo zaa matunda lakini tukiendelea kulipwa tujifedha tudogo na tuajira tusicho na kichwa wala miguu na kuanza kuwa machawa humu wa viongozi wapumbavu na kulamba makalio yao hakika naona CCM ikiendelea kutawala hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 100 ijayo mpaka pale tukakapo wahurumia watoto na wajukuu wetu ili tuwaepushe na huu mfumo hilo jambo ndilo aliloliona Mao Zedong [ China], Maximielien robesphierre [ ufaransa] , George Washington [ America ] , Lee Kuan Yew [ Singapore ] , Vladimir Lenin [ Russia ] hila sisi tupo Kama kuku aliyemwagiwa maji tumejawa na hofu tele miyoyoni mwetu halafu tunategemea muujiza wa ukombozi wa kuiondosha CCM Madarakani kupitia sanduku la kura na katiba mpya kitu ambacho hakiwezi kutokea kamwe CCM hawawezi kukubali kupitisha katiba itakayo wabana na kuzuia maslahi na kupelekea kupoteza dola hilo jambo hawawezi kulikubali .
MWISHO KUIPOTEZA DOLA NI RAHISI SANA ILA KUIRUDISHA DOLA NI MTIHANI MGUMU SANA AMBAO WALIO WENGI HUFELI
 
Wa kumlaumu ni Nyerere aliyejenga mfumo na katiba iliyopo.
Wakulaumiwa ni sisi tunaoendelea kuwaogopa watawala Nyerere alikwisha kufa hawezi kuja kurekebisha alipokosea kwenye CCM na katiba tunaoshindwa kurekebisha alipokosea mwalimu ndio wapumbavu na wajinga tusio kuwa na maana katika Taifa hili ni bora kuchomwa Moto wote kwa sababu hatuna faida yoyote tumeshindwa kufanya ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa wanyang'anyi wa CCM . Swali je hatuna miguu ya kuandamana na kupinga uovu wa CCM , je hatuna vinywa vya kupaaza sauti na kupinga rasilimali za taifa hili kuchezewa na kunufaisha wachache wao na watoto na familia na koo zao huku waliowengi tukiwa katika wimbi la umasikini au tunategemea Mwalimu afufuke aje atufanyie ukombozi mwengine wa pili?. Ni uoga gani huu wakijinga na wakipumbavu uliojazana ndani ya fikra na mioyo yetu au WATANZANIA hatuna akili na ufahamau tupo Kama wanyama ambao hawajui wanacho fanya na wanachofanyiwa . Wakukomesha huu ukiritimba wa CCM sio wengine ni sisi sote WATANZANIA tushikamane kwa pamoja na kukubali kufa kwa ajili ya manufaa ya vizazi vyetu kamwe hatotokea mtawala ndani ya CCM atakaye tuonea huruma sisi na watoto wetu . Tanzania mpya ipo ndani ya mikono yetu wenye jukumu la kuipigania ni sisi tuliohai na wala sio wafu.
 
Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.

Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?

Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka ya kila namna ya kumuwezesha kubakia madarakani hata kama wananchi hawataki.

Bado tuna safari ndefu sana.
Asingedanganya kaweka ruzuku kwenye mafuta huku yapo juu.
 
Heshima haiji bila kupigana kama walivyofanya ulaya watawala na watawaliwa walipigana ndipo wakapata mifumo ya haki na kuwekea mipaka yaani mtawala ukichezea kodi za wananchi utashugulikiwa upotee kabisa na mwananchi usipolipa kodi utashugulikiwa hadi uchakae.
wazungu walikofika sisi hatutafika kamwe, mawaziri wa uingereza wameachia ofisi kumshinikiza waziri mkuu ajiuzulu kwa kukiuka sheria walizojiwekea kuhusu korona na aliemchongea hadi raia wakajua ni mlinzi wake!!

baada ya ubishi sana Boris nae kajiuzulu!! sasa Brexit haieleweki tena!!

hapa bongo ni Mwinyi tu ana historia ya kujiuzulu waliobaki ni makapi tu!!ni wababe wachumia tumbo wavunja sheria na wajuaji!!
 
Wakulaumiwa ni sisi tunaoendelea kuwaogopa watawala Nyerere alikwisha kufa hawezi kuja kurekebisha alipokosea kwenye CCM na katiba tunaoshindwa kurekebisha alipokosea mwalimu ndio wapumbavu na wajinga tusio kuwa na maana katika Taifa hili ni bora kuchomwa Moto wote kwa sababu hatuna faida yoyote tumeshindwa kufanya ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa wanyang'anyi wa CCM . Swali je hatuna miguu ya kuandamana na kupinga uovu wa CCM , je hatuna vinywa vya kupaaza sauti na kupinga rasilimali za taifa hili kuchezewa na kunufaisha wachache wao na watoto na familia na koo zao huku waliowengi tukiwa katika wimbi la umasikini au tunategemea Mwalimu afufuke aje atufanyie ukombozi mwengine wa pili?. Ni uoga gani huu wakijinga na wakipumbavu uliojazana ndani ya fikra na mioyo yetu au WATANZANIA hatuna akili na ufahamau tupo Kama wanyama ambao hawajui wanacho fanya na wanachofanyiwa . Wakukomesha huu ukiritimba wa CCM sio wengine ni sisi sote WATANZANIA tushikamane kwa pamoja na kukubali kufa kwa ajili ya manufaa ya vizazi vyetu kamwe hatotokea mtawala ndani ya CCM atakaye tuonea huruma sisi na watoto wetu . Tanzania mpya ipo ndani ya mikono yetu wenye jukumu la kuipigania ni sisi tuliohai na wala sio wafu.

Huo uwoga tulionao unafikiri aliujenga nani? Nyerere huyo huyo. Kama shambani umepanda mahindi, usitegemee kuvuna maharage. Nyerere ndiye muasisi wa huu mfumo, wa hii katiba, wa CCM unayoipigia kelele. Yeye ndiye wa kulaumiwa.
 
Nyerere hayupo tena na baada yake wamepita watawala 5 lakini Watz bado hawapo tayari kwa mabadiliko.

Ni wajibu wa waliopo kurekebisha wanapoona kuna mapungufu, kuendelea kulaumu bila hatua hakusaidii chochote.
 
Asante mkuu hili ni Jambo la muhimu Sana umesema. ukombozi hautaletwa na walio wafu bali utaletwa na walio hai ambao ni sisi
 
Nyerere hayupo tena na baada yake wamepita watawala 5 lakini Watz bado hawapo tayari kwa mabadiliko.

Ni wajibu wa waliopo kurekebisha wanapoona kuna mapungufu, kuendelea kulaumu bila hatua hakusaidii chochote.
Kwa nini unafikiri watawala watafanya mabadiliko wakati mfumo walioachiwa na Nyerere unawaneemesha? Angalia walivyotajirika na walivyojilimbikizia mali baada kumaliza awamu zao.
 
Kazi ya kufanya mabadiliko ni ya watawaliwa sio watawala.

Ndio maana hata baada ya Nyerere, wamepita watawala 4 wa chama kile kile maana watawaliwa hawajawa tayari kufanya mabadiliko.
 
Kazi ya kufanya mabadiliko ni ya watawaliwa sio watawala.

Ndio maana hata baada ya Nyerere, wamepita watawala 4 wa chama kile kile maana wataliwa hawajawa tayari kufanya mabadiliko.

Mfumo alioujenga Nyerere unalinda watawala. Na ulijengwa hivyo kwa makusudi. Ndiyo maana hata ukiandamana wanakuvunja viuno. Nyerere alipiga marufuku watu kumiliki silaha sasa mabadiliko yataletwaje?
 
Mabadiliko kwenye sanduku la kura mkuu.
 
Back
Top Bottom