Isizidi mara 10 kwa rais anayejitambua. Labda kama ni safari za dharura.Inatakiwa Rais asafiri nje ya nchi mara ngapi kwa mwaka?.
Unadhani rais kusafiri kila wiki kuna afya kwa taifa changa kama Tanzania?Inatakiwa Rais asafiri nje ya nchi mara ngapi kwa mwaka?.
Hao hata uwaeleze vipi hawataelewa. Huyo jamaa ni mwalimu, akishalipwa mshahara wake anaona matatizo yote yameishaIsizidi mara 10 kwa rais anayejitambua. Labda kama ni safari za dharura.
Isizidi mara 10 kwa rais anayejitambua. Labda kama ni safari za dharura.
Tutafika tu.Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.
Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?
Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka ya kila namna ya kumuwezesha kubakia madarakani hata kama wananchi hawataki.
Bado tuna safari ndefu sana.
Kila mtu kw urefu wa kamba yakeWao wanalamba asali sisi tunalamba chumvi
Ni matokeo ya wananchi kuwa waoga na wala sio matokeo ya katiba tulionayoKatiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.
Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?
Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka ya kila namna ya kumuwezesha kubakia madarakani hata kama wananchi hawataki.
Bado tuna safari ndefu sana.
Uwoga wa wananchi imesababishwa na mifumo kandamizi ambayo nayo ni zao la katiba.Ni matokeo ya wananchi kuwa waoga na wala sio matokeo ya katiba tulionayo
Siku zote huwa sio rahisi kumshinda mkoloni inahitaji udhubutu wa hali ya juu .Uwoga wa wananchi imesababishwa na mifumo kandamizi ambayo nayo ni zao la katiba.
Wapo watanzania wengi waliothubutu kupingaba na rais ama serikali lkn hawakushinda badala yake wao ndiyo walipata tabu.
Jadili hoja!Chadema na kupinga-pinga ni pete na kidole
Huko nje kuna mipesa sheikh, lazima tuifuate.Unadhani rais kusafiri kila wiki kuna afya kwa taifa changa kama Tanzania?
Zote kwa ujumla. Rais wa nchi masikini kusafiri kupita kiasi sio sahihi.Hivi mnazungumzia kwenda kufanya nini? Kutembea, kutibiwa, kuhudhuria mikutano, kufanya ziara za kikakati, au vipi?
Hata 7 X 70 una jingine nikujibu😀Inatakiwa Rais asafiri nje ya nchi mara ngapi kwa mwaka?.
Kikubwa safari ziwe na faida kwa Taifa .Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi.
Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje?
Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka ya kila namna ya kumuwezesha kubakia madarakani hata kama wananchi hawataki.
Bado tuna safari ndefu sana.
KILA mtu apambane na hali yake,yaani usitumainie kabisa kuna mtu atafikiria kuhusu njaa yako.Kila mtu kw urefu wa kamba yake