Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

Mabadiliko kwenye sanduku la kura mkuu.
Hayo yanawezekana kwenye nchi zenye mifumo ya demokrasia. Sisi hatuna. Nyerere alikataa mfumo wa demokrasia na mpaka leo haupo.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere asiyekuwepo haisaidii kitu, muhimu ni kuchukua hatua za kuimarisha hiyo demokrasia mnayoitaka.

Hatua gani unataka zichukuliwe? Unaona vyama vya upinzani vinasambaratishwa, uchaguzi unavurugwa mchana kweupee, ukiatandamana wanakupa vilema halafu wewe unasema tuimarishe demokrasia. Kazi kweli.
 
Hatua gani unataka zichukuliwe? Unaona vyama vya upinzani vinasambaratishwa, uchaguzi unavurugwa mchana kweupee, ukiatandamana wanakupa vilema halafu wewe unasema tuimarishe demokrasia. Kazi kweli.
Tatizo huo mzigo wa kupigania demokrasia wameachiwa wapinzani pekee, raia wengine wapo bize wanatafuta maisha.
 
Kupaza sauti za kudai demokrasia pale inapokiukwa kwa makusudi.

Wapaze sauti wapi? Wakiingia barabarani kuandamana wanapigwa. Hao wapinzani wanavurugwa mpaka wanakimbia nchi. Hakuna demokrasia kwa sababu Nyerere aliikataa.
 
Wananchi wamepokwa madaraka yao ndiyo maana anakuwa na uthubutu wa kutoa majibu ya karaha kiasi hicho.

Yaani wenye nchi (wananchi) wanataka apunguze safari za nje halafu jibu lake linakuwa mkaa??
 
Wananchi wamepokwa madaraka yao ndiyo maana anakuwa na uthubutu wa kutoa majibu ya karaha kiasi hicho.

Yaani wenye nchi (wananchi) wanataka apunguze safari za nje halafu jibu lake linakuwa mkaa??
Wamepokwa vipi wakati yupo kwa mujibu wa sheria pale alipo?
Na wewe ama wananchi wenzio,nini kinawaumiza ama kinakwama akitoka?
 
Na wewe ama wananchi wenzio,nini kinawaumiza ama kinakwama akitoka?
Hujui? Ama kweli watanzania walio wengi ni wajinga. Rais anaposafiri kwenda nje ya nchi mamilioni ya shiling yanatupotea kulipia nauli na posho. Fedha hizi zingeweza kufanyia Jambo lingine kubwa lenye maslahi mapana kwa taifa.

Ndiyo maana tunataka rais apunguze idadi ya safari zake za kwenda nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…