RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kwani kasema ni Mtume ,kama huelewi kaaa kimya ,baada ya Mungu na Mtume kwa waislamu anayefuata ni mama .
Usikurupuke...
Dini ni utapeli, nimefikiria nimekosa majibu, watu wamefika wapi huku?Noma 😂
Wewe jamaa hamba unachojua ,unataka ushahidi gani zaidi ya kubwabwaja ,kama haujui nafasi ya mama bsi ni huko kwa paulo.labda kwa muslims wa tanzagiza ambao islam yenyewe hawailewi hata hivyo, hakuna muslim dunia hii anayeweza kumpa mwanamke hiyo nafasi, never ever, kwa muslims mwanamke comes last kabisa hata kwenye mazishi ya mume wake tu alifichwa wakaachiwa wanaume thats tells you everything, haruhusiwi hata tu kukanyanga makaburini, thats how unworthy mwanamke is kwa muslims kwanza sabau pekee hata maeweza kuwa raisi wa tanzagiza ni kwa sababu ya Christians angekuwa kwao zanzibar asingefika popote.
hivyo pamoja na kejeli zote kwa Christians lkn bado ndiyo waliomp(Christians)a nafasi na siyo muslims au kwa nini zanzibar hakuna raisi mwanamke au hata makamu wa raisi tu? wanawake wote muslims wa zanzibar walipatia vyeo vyao huku kwetu na siyo kwao zanzibar ...
Wewe jamaa hamba unachojua ,unataka ushahidi gani zaidi ya kubwabwaja ,kama haujui nafasi ya mama bsi ni huko kwa paulo.
Mama duniani ana daraja ya juu ,pepo iko chini ya nyayo zake unaongea nn, hata salah kama ni muda wa sala na huku unaitwa na mama unaweza kuacha salah na kwenda kwa mama.
We kijana wa paulo unaumwa kweli 🤣🤣
Wanachapwa kisa nn🤣🤣unavyoongea unaonekana ni fala kwa sababu hamna cha maana .ndiyo nasikia leo, kwa hiyo wale wanawake wanachapwa viboko hadharani na muslims kule islamic republic of iran, pakistani, afghstan, saudi arabia & co. siyo islam ile? ...
Mkuu umeshaponaKama mnataka vita si muazishe tuone, makelele mengi mitandaoni wakati mkiwa mtaani ni makondoo wa bwana
+ ugumu wa maisha, hiyo combination lazima uwe mwendawazimuDini ni utapeli, nimefikiria nimekosa majibu, watu wamefika wapi huku?
Stupid, mtuue. muda wa kujitokeza kutuua unakuja, safari ni hatua.Kama mnataka vita si muazishe tuone, makelele mengi mitandaoni wakati mkiwa mtaani ni makondoo wa bwana
Mwanamke ni sex object ya mwanamume muislamhahah hata islam yenyewe hawaielewi, tangia lini muslims wakaamini mwanamke kuwa mtume? kwa muslims mwanamke ni wa mwisho kabisa in hierarchy na ndiyo maana hata saudi arabia wameanza kuruhusiwa kwenda shopping wenyewe bila ya mwangalizi juzi tu, wengine hata shuleni hawaruhusiwi, kuna sababu kwa nini wanavaa buka na hijab maana yake muslim women ni property ya mwanaume …
Sio tuu herufi mkuu, unaweza kukuta huyu ni mwanaume kabisa. Anaandika “mimi apa”Wewe jifunze kuandika kwa herufi sahihi kwanza.
"Mimi apa" kwani unanyonya bado? 😂😂😂
Mjinga sana huyu.Tumefika huku! Time will tell!
InamTumefika huku! Time will tell!
BAADHI YA WANAWAKE BORA KWA MUJIBU WA IMANI YA UISLAM.Tumefika huku! Time will tell!
Mama yupi? Mama mzazi yaani Mama yako aliekuzaa.Kwani kasema ni Mtume ,kama huelewi kaaa kimya ,baada ya Mungu na Mtume kwa waislamu anayefuata ni mama .
Usikurupuke...
Hujafahamu alivyokusudia. Lkn amekosea sana. Vijana hasa wa kiislam wanatakiwa waisome Dini yao, ukisoma dini kuna kauli huwezi kuzitoa hata uwe na cheo gani ktk dunia hii na hata uhaidiwe nini.Safi sana.
Samia ni mtume wa Mwisho wa allah subhanallah wa taatallah.
Laila ila illhalah samia rasuluallah
Takbiiiir Kawaida akbar
Tumefika huku! Time will tell!
Inam
BAADHI YA WANAWAKE BORA KWA MUJIBU WA IMANI YA UISLAM.
1. Maryam binti Imran (عليها السلام)
Mama wa Nabii Isa عليه السلام. Allah alimsifu kwa usafi na kumchagua juu ya wanawake wa wakati wake.
Ushahidi: Qur'ani 3:42.
2. Asiya, mke wa Firauni (آسية رضي الله عنها)
Alikuwa na imani thabiti licha ya kuishi katika nyumba ya Firauni. Alimuomba Allah amjengee nyumba Peponi.
Ushahidi: Qur'ani 66:11.
3. Khadijah binti Khuwaylid (رضي الله عنها)
Mke wa kwanza wa Mtume Muhammad ﷺ na mwanamke wa kwanza kuamini utume wake. Alijitolea kwa mali yake na kumsaidia Mtume katika mwanzo wa Uislamu.
4. Fatimah binti Muhammad (رضي الله عنها)
Binti wa Mtume ﷺ. Alijulikana kwa uchamungu, subira na kujitolea.
Wanawake hawa wanne wametajwa katika Hadithi zinazozungumzia wanawake wenye fadhila kubwa.
Wanawake wengine mashuhuri katika Uislamu
5. Aisha binti Abi Bakr (رضي الله عنها) — Mwanachuoni mkubwa wa Hadithi na elimu ya dini.
6. Sumayyah binti Khayyat (رضي الله عنها) — Anajulikana kama shahidi wa kwanza wa Uislamu.
7. Asma binti Abi Bakr (رضي الله عنها) — Alisaidia katika maandalizi ya Hijra ya Mtume ﷺ.
8. Umm Salamah (رضي الله عنها) — Alijulikana kwa hekima na busara.
9. Hafsah binti Umar (رضي الله عنها) — Mke wa Mtume ﷺ; nakala ya maandishi ya Qur'ani iliyohifadhiwa kwake ilitumika katika kunakili misahafu wakati wa Khalifa Uthman.
10. Nusaybah binti Ka'b (رضي الله عنها) — Alimtetea Mtume ﷺ katika vita vya Uhud.
UISLAM HAUNA NGONJERA WALA KUPINDISHA PINDISHA MANENO