Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Uwe na nidhamu kua keyboard warrior kusikupumbaze sana,Kwa hiyo wewe mpumbavu unadhani askari ndio wanajua kutumia bunduki tu nchi hii si ndio ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na nidhamu kua keyboard warrior kusikupumbaze sana,Kwa hiyo wewe mpumbavu unadhani askari ndio wanajua kutumia bunduki tu nchi hii si ndio ?
Safi sana, kuonea raia ifike mwisho.Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.
Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.
Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
wanajeshi ni wapuuzi sana, wao hata mwenzao akichukuliwa demu wanapiga watu.Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo.
Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na Bajaji ) kuacha kutumia Bangi na Pombe kisha zinawalevya na Kuwachanganya Akili mpaka Kufikia ama Kujeruhi au Kuua kabisa Watu wanaohitilafiana nao Barabarani.
Hata polisi hasa wale field force unit squads huwa wanajiona ni miungu watu , kila siku wanapasuliwa na chupa huko kwenye mabar kisa ugomvi wa kipumbavu ,kugombea Malaya na raiaHiyo chuki ni matokeo ya uonevu wa wanajeshi dhidi ya raia. Ilo liko wazi. Halafu askari wetu uwa wanajisahau sana. Kuna mahali niliwahi kuwepo,pale kulikuwa na maaskari wengi tu,mkubwa mmoja akasimama akawa anazungumza akasema askari wengi wanasahau kwamba kinachoheshimiwa ni gwanda lake tu,kwamba akilitoa hatakuwa tena yeye na katika muktadha huo wanapaswa kuishi vyema na raia maana na wao ni raia wa kesho. Akasema leo mimi na cheo changu hiki na sare zangu hizi,siku nkistaafu au katika namna yoyote nkawa siwezi tena kuvaa hizi gwanda hata nikija hapa MP pale getini atanisimamisha na kuniuliza maswali na hata adhabu anaweza kunipa,aliongea mengi sana.
Lakini ukweli unasalia paleplae,askari wetu wengi ni waonevu. Visa vya askari kupiga raia ni vingi kuliko kinyume chake.
Dogo alicheza kama pele kuwa expose secret services huwez kua na akili za kingiri namna ileWale wana usalama kw mujibu wa report(kama zilikuwa za kweli) walishughulikiwa na vyombo husika "kinidhamu"
Angetumia busara haya yote yangetokea wapi sio kila mtu anapenda kuonewaAcha kua biased, usiegemee upande kila mmoja ana makosa kwa kiasi chake Ila alievuka mpaka ni aliechukua maamuzi ya kuua baada ya kuzidiwa nguvu kwenye one vs one na kuchezea mambata, kata funua za kutosha unakimbilia bisibisi? Tulia unabishana na Askari? Haya sasa baada ya kuua unapata faida gani?
Ndo hivo ni hasira baana ya kuzabwa kibao...Pamoja na uzibaji wa njia Sijui walijibishana nini kama muwajuavyo madereva bajaji na boda, keno akamlamba kibao kijana akaon sio kweli kaenda kweny bajaj yake katafuta silaha kaichukua, kwamba hapa naenda kujeruhi, kamchoma nayo" unasema kaua bila kukusudia? Basi Sheria ni pana aisee
Kwa hio wanajeshi wote unaowana ni sawa na kuanza kuwavimbia na kuwatukana unavyojisikia na kutaka kupimana nao nguvu si ndio?Hata polisi hasa wale field force unit squads huwa wanajiona ni miungu watu , kila siku wanapasuliwa na chupa huko kwenye mabar kisa ugomvi wa kipumbavu ,kugombea Malaya na raia
Na sio mara ya kwanza hao wapumbavu kuuawa, kuna mwingine wa cheo cha copral aliwahi kuuawa kule kigamboni, kisa ni huo huo ubabe wa kipuuzi.Nasikitika tu hadi hii leo Serikali ya Tanzania na hata Watanzania ( wana JamiiForums wakiwemo ) hawajatambua Uwezo wa GENTAMYCINE na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa Zawadi yake Tukuka ya GENTAMYCINE hapa duniani.
Thanks for acknowledging my Potential. Be blessed Chief....!!
Mimi ukiniletea useng£ wa kunishambulia , tunazipanga ngumi na nahakikisha nakufumua na kukutoa ngeo ili ikome kabisa , sita angalia umevaa gwanda wala matambala ya batiki , ukinishinda kwenye ngumi hata silaha au nawe natumia mpaka nihakikishe nimetia adabu .Sasa si unaona maelezo yao ni km haya, yaan haya ndio yamejaa kwa vijana wengi kwamba Mimi mwanajeshi mmoja akija nampoteza unaona huu ujinga uliowajaa vijana na chuki za kijinga, sasa mentality km hii mtu anatembea nayo anavizia mwanajeshi yupo peke yake anamtafutia sababu ili amvimbie na mwanajeshi sio kwamba anaweza ku-vumilia kila ujinga unaofanywa mbele yake na raia lazima akuadhibu tu ijapokua haruhusiwi kufanya Ila self defense ni muhimu kwa Askari yoyote
Yeye katangaza vita dhidi yenu.Mwenzako alijitamba hivyo hivyo sasa kafunga Banda lake la chips na amehama eneo, jisifie ujinga hivyo hivyo
Kuna sababu, hawezi mtu akakuzaba makofi pasinakua na sababu yawezakua wewe ni mtovu wa nidhamu umemtusi km afanyavyo huyu member humu Don Vill hivi huyu aanze kuporomosha matusi mbele ya Askari na kumvimbia unadhani nini kitafuata? Mtu anatukana viungo vya mama yake anavitaja bila kua na staha unahisi nini kitafuata?,Angetumia busara haya yote yangetokea wapi sio kila mtu anapenda kuonewa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Punguza chuki za kijinga, form 4 failure ndio mlivyokaririshwa kua kila Askari ni form 4 failure? Acha kua mjinga chagua kua mwerevu,Yeye katangaza vita dhidi yenu.
Mimi nawaambia tumieni busara.
Ila ukija kwa shari nakushari pia.
Wala usinitishe.
Form 4 failure unavimba vimba barabarani. Tuheshimiane.
Kas0meshwa lakini hakus0ma. Sina huruma na watu kama hawa wana0jina waungu kwa sababu ya che0. G00d riddanceHawez achwa huyo cheo cha kanali jeshin ni kikubwa sana na hpo serikal ishapoteza hela nyngi sanaaa kumsomesha.
Hpo weng watabebwa na weng kurud sjui
Acheni kupiga raia nyie..hivyo vifungu vimeandikwa miaka hii ya hivi karibuni!?Nenda kasome jukumu la 3,4,na la 5 la JWTZ
Kujumuisha askari wote, kuwa wana tabia za uonevu, siyo sawa, kuna askari wengine ni wema sana. Elimu inabidi izidi kutolewa kwa askari, namna ambavyo wanatakiwa kujibihevu uraiani, na siyo kufanya ndivyo sivyo.Kwa hio wanajeshi wote unaowana ni sawa na kuanza kuwavimbia na kuwatukana unavyojisikia na kutaka kupimana nao nguvu si ndio?
Soma CPA kasome defensive factors ambazo zinaweza kukulinda usiwe liable.Utaelewa....Pamoja na uzibaji wa njia Sijui walijibishana nini kama muwajuavyo madereva bajaji na boda, keno akamlamba kibao kijana akaon sio kweli kaenda kweny bajaj yake katafuta silaha kaichukua, kwamba hapa naenda kujeruhi, kamchoma nayo" unasema kaua bila kukusudia? Basi Sheria ni pana aisee