Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Majitu majinga sana ,na hii mada ndio inapima akili ya Watanzania walio wengi ,sijui ni mtindio wa akili ?
 
Soma CPA kasome defensive factors ambazo zinaweza kukulinda usiwe liable.Utaelewa.
Zipo kwenye PENAL CODE hizo (zinazotumika hapa)
Kuna defense of Provocation and Self defense and if this successful pleaded it would help to exonerate an accused person from murder to manslaughter or it might acquit him
 
Definitely, na amepata anachostahili. Hata kama wenzake wakifanya fujo kuanzia kawe mpaka bagamoyo bado hawawezi kurudisha uhai wa mwenzao, Point blank!


Kunguru muhoga anaishi miaka mingi
Hivi Mtu ukila mshahara wako na Familia yako na ku-play low key utapungukiwa Nini

Uku Tz Mtu akiwa mwanajeshi basi anaamini yeye anajua kila kitu na anaweza mpiga raia

Kuna siku nimeona jamaa wanampiga dereva wa daladala viboko vya usoni na wakampasua jicho akiwa amekaa katika usikani wake nilihisi uchungu Sana maana jamaa hakuweza kuendelea na safari tena huku jamaa aliyempiga aliendelea kula jogging as if he did the right thing.

Ebu waza kuhusu Familia ya yule dereva ?
So nadhani tusipojitambua na kuamini sisi ni Bora na wengine sio bora litatukuta Jambo

Pia na kuwa na Elimu ndogo bila personal growth hiyo nayo inachangia ushamba wa vyeo , kutafuta attention , social proof lazima utaishia kuimuza famlia yako

We need to fuckky our Ego
 
Na kwa wake zao wasipeleke ubabe maana watalishwa sumu waishe familia zikose wababa. 😆😆😆

Kikubwa ubabe wao wasubiri kibiti panuke waupeleke huko 😅
 
Huyu wa kwenye stori ametumia utaratibu upi?

Wanajeshi wana kero sana
Shule flani palikuwa na huyo mwanajeshi, tulikuwa tunamuogopa.
Alikuwa hatufundishi, ila anakuja class. Anajisikia tu kukwambia usimame ucheze kiduku.. sasa kataa uone.
 
Unaeleza ujinga tu,namna ya mwanajeshi kuendelea kumlinda mwananchi,yaani kutimiza majukumu yake,mwananchi anapaswa alipe kodi ili pesa zipatikane za kumlipa huyo(mwanajeshi),ili atimize majukumu yake kwa uweledi.Katika majukumu yake,kupiga raia siyo jukumu lake,na kama siyo jukumu lake,raia anatakiwa ajilinde dhidi ya huyo askari ambaye amelishwa na raia,akagharamiwa mavazi,mafunzo na mpaka malazi na raia.Raia hatakiwi kutwndewa ndivyo sivyo,ilhali anatakiwa alindwe ili afanye kazi mfano za kuendesha bajaji,bodaboda,ualimu n.k ili pesa ya kodi ipatikane,ambayo itaenda kwa mwanajeshi kama posho na mshahara.
 
Mama weee yan uyo dogo atateswaaa weee na atauawa bila kupelekwa popote na vyombo vingine vya usalama havutafanya lolote mind my words
 
Kwa hio wanajeshi wote unaowana ni sawa na kuanza kuwavimbia na kuwatukana unavyojisikia na kutaka kupimana nao nguvu si ndio?
Labda sisi wengine tunaoishi huku Nkome hatujui kinachoendelea huko Kawe, Kwani ni Kweli ninyi maaskari mkipita mnatukanwa tu na raia?

Binafsi sijawahi shuhudia askari anapita zake raia wakaanza kumtukana, nchi hii bado haijatokea acha kukuza mambo, na wala hatuwachukii maaskari wetu kama unavyojaribu kuaminisha umma hapa.
 
Dolphin bila shaka. Nakumbuka huo mkasa.
 
Hapo unaweza kuta jamaa wa Bajaj alianza kuongea shit!
Unajua vijana wa bodaboda au Bajaj unaweza kuta anafosi kupita ukimkazia akikupita atakutukana au kukuonyeshea ishara ya kidole cha kati wengi sio wastaarabu.[emoji23]
Akikukwangua rangi anakimbia ila yeye ukimkwangua au kumpushi kidogo anakomaa umlipe tena varangati kubwa na watajaa hapo as if kuna tafrani kubwa wote wakimtetea mwenzao.
 
Kawe ni eneo lenye wahuni wengi kupindukia kusafisha na kuleta ustaarabu ni suala la LAZIMA.
Kawe uswahili kinoma kuanzia ukwamani mpaka maringo ukiingia kule ndani ndani kuna tisha, nyumba hazina mpangilio vichochoro sasa, vibaka wa kukata madirisha wako tele, watoto wasela wamama wasela wababa nao wasela pamoja na dada poa kibao wachafu wachafu, mitaro ya maji machafu sasa daah tabu tupu kule magonjwa ya mlipuko nje nje!

Wauza vitumbua, mamalishe wachafu wachafu na wauza samaki wa kukaanga vumbi kibao, kule wachawi watakuwa wengi sana, waganga wa kienyeji tele!

Wamama/wadada wasio na shughuli za kufanya wanaongoza kwa kukopa kausha damu [emoji23]
 
Acheni kuwajaza kichwa wajione wana jua sana .ni mapimbi tu hawa wenye elimu ndogo wengi wao na ubabe wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…