Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Maisha haya
Hii iliwahi nitokea kiwanja popular sana hapo mjini Daslam, nimetoka kula vyombo mida around saa tisa usiku nikampa demu funguo za gari atangulie kwenye gari, mimi nikaenda kwanza washroom,
wakati narudi natokea mlango wa exit nisepe, mbele yangu kulikua na mdada so tukawa kama tunaongozana, kumbe jamaa yake alikua nyuma kidogo na alihisi niko na yule demu wake,
lahaula, nilipigwa ngumi moja ya mgongo vuuup chini, ile nanyanyuka nikaongezewa teke, nikarudi tena chini, jamaa anataka kuniongezea na chupa ya kichwa, Mungu saidia nikaishika,
kumuuliza shida nini mzee, ananiambia kwann unaondoka na demu wangu, na viingereza vingi, you know am sijui nani, nikampigia demu wangu simu akaja, nikamuuliza mbona mm demu wangu huyu hapa mzee,
Yule jamaa nilichomfanya Mungu anisamehe,

ninachokumbuka alikimbia akaacha viatu, kaacha demu, simu, na funguo ya gari pia aliacha pale chini, na nasikia ile gari ilikaa pale siku mbili bila jama kurud,
demu wake alilia sana, mpaka huruma, lakin alikiri jamaa yake alikua na makosa maana hata demu hatukua tunafahamiana
pamoja na kumsulubu lakini kesho yake nilitafakari sana hv jamaa wakati amenivaa bila mm kujua angenipiga nikadondoka vibaya labda nikafa ingekuaje, wangesema aliniua bila kukusudia maana mimi nilikua sina habari wala hatia yoyote

fakamia fakamia watu, kifo kinakuita
 
POLISI kazi yao nini kama JWTZ na MP wanazagaa kuwavaaa raia kwa makosa ambayo yanaweza tolewa hukumu mahakamani na vituo vya polisi?

Sawa kukosea kupo ila kilichofanyika ni kuonyesha kwamba Hii nchi unaweza miliki JESHI uwe tu na sauti ya kusikilizwa, hata vinyota anaweza kuja kwako kumkamata kibaka alovunja dirisha lako.
 
Kama ni kweli iwe fundisho kwà wenzake
 
Bahati yako ulikuwa na nguvu, angekuzid ww habar yako ndio ingeishia hapo
 
marehemu mchokozi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajinga. Wangetumia akili wala yasingetokea. Nani anakupa haki ya kumpiga mtu Kofi? Huko ni kushambulia. Kwa hiyo kesi marehemu kajitakia. Na huko kuwapiga raia ambao hawakuwepo, hawajua kilichoendelea, wala hakiwahusu? Upumbavu ni pamoja na kufikiria una haki kuliko mwenzako. Naamini matokeo yake mmeyaona. Roho za watu zimepotea Bure.
 
Duuuh hii hatarii sasa.
 
Kigogo ana udugu na jamaa dereva bajaj? Au Dereva wake??
 
Kuwachokoza nani hivi unajua sisi mademu zetu wengine ni wanajeshi?
Mademu zenu wengi wanajeshi inahusiana nini na mada mezani? Mada mezani ni raia kufanya mauaji ya mwanajeshi, suala la mademu wenu wanajeshi wapo wanajeshi wanawagongea dada zenu pia ambao sio wanajeshi una kingine cha kuongea?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magari yamepita asubuhi Mzee wewe umelala yamepita malori kibao yamebeba wanajeshi yanatoka Lugalo, endelea kulala wao hawalali wanakulinda wewe na mipaka ya Nchi yako

Ni kazi yao. Kila mtu ana kazi yake ambayo inamfanya halali kwaajili ya wengine. What’s your point?
 
Msifanye hivyo tusije baki na makuruta nchi nzima
Baadhi ya raia ni wajinga sana wanatumia mihadarati mda wote alafu eti na yeye ni dereva bodaboda, mda wote mtu kaweka ugoro mdomoni akipumzika kavuta bangi akipumzika energy drink akipumzika anakula mirungi akipumzika Sungura hapingwi, pumbavu kwanini usipigwe makofi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…