jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wawapishe wahindi tuMkuu mimi nawaonea huruma, huwezi kubishana na serikali
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawapishe wahindi tuMkuu mimi nawaonea huruma, huwezi kubishana na serikali
Mbaya Zaidi 90% ya hizo Kaya sio wakazi wa Kota.Serikali ikubali kuingia hasara wawaache tu waendelee kuishi hapo
Hizo hela za kujengea hizo nyumba alizitoa mfukoni kwake au za wananchi?Ndo nasema jengeni zenu Kwa pesa mlizikopa na mzifanye za biashara mpate faida.
Hizo Zina maelekezo ya marehemu kuwa wapewe hao maskini waliopo kipaumbele.
Sasa kuwapandishia Bei Ili muwafukuze, hizo ni HILA.
Ila kuna vitu vinafikirisha sana. Hivi kwa mfano huo mkataba ukasainiwa na wakauziwa nyumba kwa milioni 12. Baada ya mwezi huyo huyo aliekua analia anaiuza kwa bei ya juu kisha anahamia kwenye eneo ambalo wanakaa kwa kutazamana makorido. Watanzania watakaofaidika hapo ni wenye mkono mrefu. Anyway sijui nani alikuja na hilo wazo ila acha ninyamazaTaslima amesema, "Njia mojawapo ya kuchukua ni kuiomba Serikali au kwenda mahakamani. Bei ya chumba na sebule kwa Sh48. 5 milioni na vyumba viwili na sebule Sh56.8 milioni inaweza isiwe rafiki na mnunuzu asimudu," alisema Taslima.
Kwahiyo unataka kusema hakuna aliyeunganishiwa umeme kwa 27KKama bei ya 48m siyo sahihi, hiyo wananchi wanayotaka ya 17m itakuwaje sahihi?
Magu naye àlikuwa laghai, eti kufungiwa umeme 27k, nyumba za magomeni kotaz 17m
Mbaya Zaidi 90% ya hizo Kaya sio wakazi wa Kota.
Hata Mimi muda Fulani niliwambiwa nitoe 1 million ili niandikishwe kama mkazi wa Kota.
Serikali uzeni nyumba hizo kwa bei hizo hizo mlizoelekeza,,
Pana mchezo mchafu hapo Kota.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Hawakuwahi kumiliki Kota,Sijaelewa,ina maana wale waliokuwa wanamiliki tayari kota zao kipindi hicho katika eneo hilo nao wanalipishwa hyo bei tajwa au wanakabidhiwa tu mijengo yao?
Mbn hao viongozi wengine hawakuwahi kujenga?Hizo hela za kujengea hizo nyumba alizitoa mfukoni kwake au za wananchi?
Ndy malengo hayoEti nyumba milioni 12..wanataka wanunue alafu wauze kwa hizo milioni wanazokatwa
I read sense! Mtu anataka nyumba iliyopo magomeni auziwe kwa 17 milion? Seriously?? Pale si karibu kabisa na mjini. Hata mpiji tu hupati nyumba kwa milioni 10 sembuse magomeni. Wajengewe chanika. SimpleWalioishi hapo ni mababu na mabibi zao ambao pia walikuwa wamepangishwa na halmashauri!! Sikujua huu utaratibu WA kuwafidia wajukuu wa wapangaji pesa na nyumba bila Mkataba ulitoka wapi!? Just politics!! Eneo ni strategical Kwa biashara na Sio kujenga na kugawa Bure!! Majengo ya biashara Malls zingezaa ajira nyingi, my country!! Makazi wangejenga chanika na Mabwe Pande
True kabisa mkuu ulichosema,thamani ya vile vijumba vya zamani na hz ni tofauti kabisaHizo nyumba sio zao
Hao jamaa ni wapangaji tu! tena wamekaa hapo miaka mingi wakilipa pesa kidogo ukilinganisha na uhalisia
Hivi leo wapangaji wanaoishi Upanga na Posta NHC ikaamua kuvunja jengo bovu walijenge upya watapewa bado kodi ya zamani?
Miaka 5 waliyopewa ni mingi sana, ilikuwa huruma ya serikali vinginevyo walitakiwa kupewa notisi tu wahame kama mpangaji mwengine.
Tuongee facts tuache unafiki!
Tukiweka siasa pembeni hizo nyumba wachague 1 walipe au wapishe wengine wakae.Walioishi hapo ni mababu na mabibi zao ambao pia walikuwa wamepangishwa na halmashauri!! Sikujua huu utaratibu WA kuwafidia wajukuu wa wapangaji pesa na nyumba bila Mkataba ulitoka wapi!? Just politics!! Eneo ni strategical Kwa biashara na Sio kujenga na kugawa Bure!! Majengo ya biashara Malls zingezaa ajira nyingi, my country!! Makazi wangejenga chanika na Mabwe Pande
Hawatakaa sababu kuna wengine hawana uwezo kulipa service chargeHizo nyumba wanatolewa kijanja janja
Ile miaka mitano waliyopewa wakae bure. Sijui kama wataimaliza
Jibu swali
Hapo kuna wanasiasa wameingizwa tayariWengi wanaoishi hizo nyumba ni watumishi wa umma, wanalipa kodi wanapojisikia PIA kodi ni ndogo sana, watumishi wa umma wanapenda dezo sana, na wengi walioingia hapo ni kwa vimemo.
sasa wao wanataka wauziwe kwa bei wanazozitaka wao (inaonekana kabisa), serikali inaela ujinga, eti wanaenda kumwambia Raisi,
watu weusi tuna shida mahali, KABISA
Kumbe ni wapuuzi kiasi hicho,wao wapewe ni nani,kwa nini watanzania wengine wasipewe kama wao kumbe ni wapangaji tu?Hawakuwahi kumiliki Kota,
Walikuwa wapangaji tena wakikaa miaka mingi Bila kulipa Kodi.
Ifike mahali serikali isimamie inachoamini.
90% ya wakazi wa Kota sio wenyewe halisi..
Wanataka wapewe kwa pesa ndogo na wao wauzie watu wengine.
Kama zilivyokuwa NHC .
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Hapo wanachekechwa wataondoka wenyewe [emoji1]Tukiweka siasa pembeni hizo nyumba wachague 1 walipe au wapishe wengine wakae.
Sasa tutalaumu hadi lini?
Serikali ikae kimya iwaondoeWakazi wengi wa kota huwa ni wagumu sana kuhama. Fatilia kota zootee wanapotakiwa kutoka huwa hawakubali kirahisi na kutaka kuuziwa kwa bei yoyote,wakiletewa bei matokeo ndo kama haya ya wa uzi huu
Hao ambao hawajawahi kujenga walikwama wapi?Jibu swali