HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wanawekea mkataba mapema maana wengine hawalipi service chargeNyumba zilizojengwa kwa kodi ya wananchi wote ina laana kutoka kwa nani. Wale waliambiwa wakae miaka 5 bure baada ya hiyo miaka kuisha mi nafikiri serikali ingetangaza kuziuza zile nyumba kwa bei ya soko. Mtanzania yoyote mwenye uwezo apewe fursa wakiwemo na walioko ndani ya nyumba husika. Zile ni kodi zetu watu wasitake dezo kisa wanajua kuongea na kulalamika. Hii serikali iwe serious na mambo yake siyo kila malamiko ni ya kusikiliza.