Wanawekea mkataba mapema maana wengine hawalipi service chargeNyumba zilizojengwa kwa kodi ya wananchi wote ina laana kutoka kwa nani. Wale waliambiwa wakae miaka 5 bure baada ya hiyo miaka kuisha mi nafikiri serikali ingetangaza kuziuza zile nyumba kwa bei ya soko. Mtanzania yoyote mwenye uwezo apewe fursa wakiwemo na walioko ndani ya nyumba husika. Zile ni kodi zetu watu wasitake dezo kisa wanajua kuongea na kulalamika. Hii serikali iwe serious na mambo yake siyo kila malamiko ni ya kusikiliza.
Na ndio lengo la serikaliHapo wanachekechwa wataondoka wenyewe [emoji1]
Hapo watakaa watu wenye hadhi zao na mitkasi zao
Ova
Survival of the fittestHapo wanachekechwa wataondoka wenyewe [emoji1]
Hapo watakaa watu wenye hadhi zao na mitkasi zao
Ova
Asilimia kubwa wanaokaa hapo kotaHaikwepeki
Wao ni wapangaji tu,Kumbe ni wapuuzi kiasi hicho,wao wapewe ni nani,kwa nini watanzania wengine wasipewe kama wao kumbe ni wapangaji tu?
Serikali isimamie hapo hapo,haiwezekani wapewe nyumba bure kwa jasho la watanzania wote,hata sisi tunazihitaji pia.
Kama wamepewa favor ya kuuziwa wao kwanza kama wapangaji na hawataki kuitumia,waziache nyumba zetu
Wajanja kadhaa washaziachia ki styleNa ndio lengo la serikali
Wengi wameshawapangisha watu wanakula pesa,,Asilimia kubwa wanaokaa hapo kota
Hawazimudu nyumba hizo,service charge to ya hapo wanashindwa
Wawapishe tu wenye kisu wakae hapo
Ova
Washasaidiwa mara ya Kwanza kwa kupewa pesa za Kodi miaka 3.,Kwa hiyo wanataka wauziwe kwa milioni 12? hawako serious hawa lakini inawezekana ni maskini sana, anyway serikali iangalie namna ya kuwasaidia ili ijitoe na ijifunze misaada ya namna hii ya kuwajengea wananchi nyumba ni mizigo tuu na haina faida yeyote, wajikite kuweka sera za kusaidia watu kujijengea nyumba zao kama upimaji mzuri wa viwanja na mikopo rahisi
Hakuna cha bure sahiviMungu ni Mwema wakati Wote
Hizo kota wangewapa bure tu
Tena serikali iziangalie zile kota za manyanya ,mijitu pale inakaa bureWashasaidiwa mara ya Kwanza kwa kupewa pesa za Kodi miaka 3.,
Na wakae miaka 3 bure humo ndani..
Serikali iwasaidie nn tena?
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wajengewe kwa mkataba upi?I read sense! Mtu anataka nyumba iliyopo magomeni auziwe kwa 17 milion? Seriously?? Pale si karibu kabisa na mjini. Hata mpiji tu hupati nyumba kwa milioni 10 sembuse magomeni. Wajengewe chanika. Simple
Nmekuuliza swali badala ya kujibu unaleta porojo,inaonekan huna hoja ya maan,ngoja nikuache tuHao ambao hawajawahi kujenga walikwama wapi?
Na pesa ni za wanainchi?
Sio kila kiongozi ni kiongozi,,
Wengine ni wana siasa.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kabisa,,Tena serikali iziangalie zile kota za manyanya ,mijitu pale inakaa bure
Wengi wao,
Waje na mradi kama wa magomeni
Wazipige chini zote zile uchafu
Ova
Namimi nakuuliza kama alijenga kwa pesa za wanainchi,Nmekuuliza swali badala ya kujibu unaleta porojo,inaonekan huna hoja ya maan,ngoja nikuache tu