Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

Kuna wakati huwa napenda kusoma kiswahili chako na mada zako ila kwa hili nakupinga sana sana

Inaonekana wewe mwenyewe hujiamini kama unaweza kufika huko au kuzipata hizo hela bila ndumba na uchawi mnaouhisisha kwa kila utajiri

Biashara zipo zinazoingiza mpaka 4m kwa kila bidhaa iliyoingia nchini
Sasa kwa mda wa miaka kadhaa imeingia 200 x 4,000,000 ni 800m

Sasa hizo zikipatikana kwa uchawi upi maana ni kununua polepole na kusafirisha na baadae kusubiri zifike na kuuzwa tu
Faida 4m na hiyo ni biashara moja tu bado zingine za ndugu pia ni kama hizo

Usikariri maisha au kukaa sana na masikini wa akili jaribu kuwa na watu waliopata kiasi na sio majizi

Hela zipo biashara zenye faida kubwa zipo nyingi ila ni kupata maarifa kidogo tu na Mungu akikujaalia mbona rahisi tu
 
Dotto kaligo Njige,niaje mwana Literature mwenzangu
 
Dotto kaligo Njige
 
Mfatilie vizuri huyu jamaa utagundua kuna pesa flan hivi alizipiga ndio zikampa breakthrough ya utajiri
Hatuwezi kuishi kwa upigaji. Nakiri kuwa akili inayotumika kwenye upigaji huwa ni kubwa mno kiasi kwamba akili hiyo hiyo ikitumika vizuri kwenye upande ulio mwema, inao uwezo pasipo shaka yoyote, wa kuzalisha matunda makubwa zaidi kuliko yale ambayo inaweza kuyazalisha kwa kupitia upigaji. Unajua ni ujinga wa hali ya juu sana kwamba una akili kubwa halafu unai-misuse kwa kufanya upumbavu. Akili kubwa ikitumika vizuri huwa ina matunda makubwa mno, kuanzia kwa mtu mwenyewe binafsi hadi kwa watu wengine ikiwa ni pamoja na Serikali au taifa kwa ujumla. Mwangalie Mh. Mengi (RIP), namna alivyokuwa in harmony with everything kuanzia Serikali hadi mama lishe mitaani na watu wengine wote.

The fact is, wengi wetu Watanzania tuna akili kubwa mno ila huwa tunai-misuse kwa kiwango cha juu sana, tunapenda mno shortcuts
 
Kwl umechoka, Bill Gates alipitia hizo njia?
 
Waliosoma na kuelimika ndio wanakimbizana kwenye ajira juzi zimetangazwa nafasi 17,412 wakaomba 165,948 sasa kama waliosoma na kuelimika ndio hawa huo utajiri tunaupataje kama kujiajiri tu imekuwa kipengele
Hulazimiki kuiba ili kupata utajiri. Tatizo kubwa tulilonalo ni kwamba wakati mwingine huwa tunazibiana fursa sis kwa sisi. Nikuulize kitu. Kwa mfano, wewe hapo ulipo, ikitokea hayupo kabisa mtu hata mmoja ambaye anaweza kukukwamisha kwenye jitihada zako za kujitafutia kipato chako, je utashindwa kuwa tajiri?
 
Embu tuanze na bilionaire wa kwanza wa dunia wanaotambulika kisheria acha na hawa wamadawa ya kulevya,mfano elon musk,bill gates,bezos wao utajiri wao umeanzaje?wamevunja sheria zipi?
Amenunua platform ambao inatetea na kulinda haki za mashoga
 
Diamond mwenyewe anakwambia waambie chocho nilizopita hawaziwezi
 
Uwepo wa hao wakamishaji ndio unafanya wabuni mbinu za kuwakwepa
 
Diamond mwenyewe anakwambia waambie chocho nilizopita hawaziwezi
Haamanishi kuwa aliwahi kuiba; kwa nini isiwe ni wakati alipoanza kwa kuimba wimbo MBAGALAAAAA akiwa amesImama kwenye dampo la takataka Tabata?
 
Mkuu sehemu iliyotawaliwa na uchawi sasa ni huko bila ramani za waganga utachimba miaka yako yote ya ujana na uzee hadi kifo hutaambulia mali kubwa ila pesa ya kula utapata but pesa ya utajiri sahau mzee
Uchawi ni nguvu ya majini so unaweka vitu visivyopatana na jini.
KILA mganga ana mganga wake.kila siri ina siri yake.Vitu vyote duniani Ili vitende Kazi vinahitaji kanuni.So Ili kisifanye Kazi unaivuruga kanuni ya utendaji wake kazi
Bado sisi wanadamu ndo tumepewa uwezo wa kuvitawala na kuviamrisha vitu vyote vinavyoonekana na visiovyoonekana. Ukitaka kuishi vyema duniani jifunze kuzijua siri.
 
hilo nalo neno
 
Zijue siri hao wapumbavu hawawezi kula jasho lako.
Ooh pwani ardhi tele Ina rutuba watu wavivu awataki kulima nenda kalime wewe toka bara kama utavuna.
Ukianza kulima wanakuangalia tu utalima heka 50 utavuna gunia 3.
Mungu aliumba miti,mimea na madini yenye uwezo wa kufyonza negative power ikiwemo uchawi,so ukilima unaweka nguvu ya kublock negative power ikitupwa inanyonywa na mimea,madini, vitu,nguvu ya maombi ya dua au damu ya Yesu,then unavuna jasho lako,na sio kufaidisha hawa wapumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…