Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

Hela zinakusahulisha kila kitu

Si alfajiri tumerudi tumepewa elfu tano na kila mtu kitoweo cha kutosha ukitaka utakiuza hapo hapo kwa wale wanaokuja kutuwai mapema kwa ajili ya kununua wa biashara au utarudi nacho nyumbani

Hapo unataman urudi tena nikikumbuka Sekeseke hilo wazo linapotea
 
Aisee! ulikaa gerezani kwa muda gani?
 
Kwa hiyo malipo ya tripu 11 ukasamehe?
 
Umenikumbusha kipindi fulani nilienda kupiga kazi kwenye Site ya ujenzi, Bosi ni mhindi.

Kupandisha mfuko wa cement ghorofa ya kwanza ilikuwa kasheshe.
Nilipiga kazi siku moja, sikurudi tena. Nikasubiri siku ya malipo nikafuata 6500 yangu.
Nilijua hata na ile 6500 ulisamehe mkuu😂
 
Daah..watu mna hustles asee..kumbe uzoefu uliuanza kitambo

#MaendeleoHayanaChama
 
1850 tsh kwa siku??au umekosea kuandika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watu Wana Anza kuongea manneo ya mwisho.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Unaweza kufa hivi hivi kwa kujitia kidume.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha bwana, mkuu umetoa story inauma, ila pia nimecheka mpaka wenzangu wakaniangalia , maana nimefikilia kitendo Cha kuwambia vibaka,mnafanya nini, nakutumbukia kwenye pipa, Sasa nikafikili vipi Kama wangeamua kukufuata kwenye pipa lako jisui ingekuaje, ila pia inawezekana ulitumiwa watu makusudi kukutest maana si ulikua mgeni, kujua Kama umelala au but all in all pole sana

 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…