Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

Utaishia na maumivu yako kwa awamu yote ya sita iwapo SSH ataendelea kumuamini Jokate. Hateui malaika anateua binadamu.
 
Wewe jamaa acha basi kuapangia watu namna ya kuishi kavunja kanuni gani ya utumishi wa umma?
Viongozi wengi ni walevi ila tu isiwe muda wa kazi
 
Utaishia na maumivu yako kwa awamu yote ya sita iwapo SSH ataendelea kumuamini Jokate. Hateui malaika anateua binadamu.
Unajua sasa wewe bukililo akili yako ni ndogo, mimi nipate maumivu sabb aliyemteua jokate hamtoi uDC..real? have got all I need, kwa hiyo wewe unataka tusiseme viongozi wanapokosea, but it is our civil right, we pay tax, t s our duty to take them to task! If they don't that remains with them..sisi tumefanya sehemu yetu, mtu anaamua kufanya umalaya mimi niumie! that's peculiar..! Nitasikitika tu sabb si jambo zuri kwa binadamu yeyote kufanya hivyo, kiimani that will end up loosing his/her soul..ondoa mentality za hivyo, try to clean up your mind..jambo lolote analoambiwa mtu ni kwa lengo zuri kabisa, wala hakuna maumivu yoyote anayopata msemaji.
 
Wewe jamaa acha basi kuapangia watu namna ya kuishi kavunja kanuni gani ya utumishi wa umma?
Viongozi wengi ni walevi ila tu isiwe muda wa kazi
Inavyoonekana hujui zaid ya kujua kuna kanuni za utumishi wa umma..maliza homework ya kujua kwa nini kuna tume ya maadili kwa viongozi na kwa nini viongozi wanafanya kiapo kabla ya kuanza kazi.
 
Inavyoonekana hujui zaid ya kujua kuna kanuni za utumishi wa umma..maliza homework ya kujua kwa nini kuna tume ya maadili kwa viongozi na kwa nini viongozi wanafanya kiapo kabla ya kuanza kazi.
Kwamba alipaswa aape nini duh jameni.
Nchi inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu au miongozo mbalimbali sema kakiuka wapi.
 
Ulitaka akutangazie mume wake?au unafikiri ndoa inafungwa msikitini na kanisani pekeyake?usimhukumu kwa kutumia imani yako
Kwanza mimi simhukumu, kiapo alichofanya ndio kinamhukumu, pili, kiongozi anapaswa kuwa kielelezo kwa jamii anayoiongoza, hata km ndoa ilifanyika kwa wazazi chumbani hapaswi kufanya siri..anaowaongoza wana haki kufahamu juu ya hilo.
 
Akili ndogo ni wewe unayeita watu malaya wakati hawajakufanya chochote. Ungekuwa na lengo zuri ungeridhika na kuachana na binti wa watu kuliko kuendelea kuhukumu.
 
Karen mbona anayo na hajalalana mtu!
 
Akili ndogo ni wewe unayeita watu malaya wakati hawajakufanya chochote. Ungekuwa na lengo zuri ungeridhika na kuachana na binti wa watu kuliko kuendelea kuhukumu.
Wewe ndio huwa unafanya vetting ya ma DC? naona imekugusa sana binti huyu kuwa mjamzito, ukitaka tuachane nao wanapotenda tofauti, ongeza umakini kwenye kazi yako..ukifanya hivyo hutatusikia asilani!
 
Baadhi ya watu ni wapumbavu sana,wanataka kufanya uongozi kama bahati au eti aliyepewa kapewa,ndomaana viongozi wengi hawana maadili ya uongozi.Inanisikitisha sana kuona kiongozi anabeba mimba hovyohovyo,eti hiyo inshu ni personal, personal gani analipwa pesa zetu sisi walipa kodi,halafu anajibehave hovyohovyo?
Utaishia na maumivu yako kwa awamu yote ya sita iwapo SSH ataendelea kumuamini Jokate. Hateui malaika anateua binadamu.
Ateue mwingine tu,atakayeishi kadri ya ethiycs za utumishi wa umma,huyu akapumzike,afanye shughuli nyingine,siyo lazima aendelee kuwepo pale.Kuna binadamu wanaheshimu nafasi zao,wengi tu,awapishe.
 
Boss wake msimbe nae kamuiga
 
Hamna asie fanya uzinzi au kuzini koo bora wanao zaa kuliko watoa mimba.

Hongera DC wetu kuzaa ni lazima ndoa ni hiari
 
Mimi sisapoti viongoz kutokua Kioo cha jamii... Hapa anataka kuwapa wadada sababu ya kubeba mimba bila ndoa tuongeze single mother na watoto wa malezi ya upande mmoja

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hamna asie fanya uzinzi au kuzini koo bora wanao zaa kuliko watoa mimba.

Hongera DC wetu kuzaa ni lazima ndoa ni hiari

Tulio watumishi wa umma ndio tunajua ethics tunazofanyia kiapo. Uongozi wa umma wenye kiapo sio lelemama. Huwezi ishi ishi tuu. Shida Jokate aliingizwa kwa rushwa na rushwa hiyo hiyo aliotumia ndio inamuumbua. Auae kwa upanga hufa kwa upanga. Aondoke tuuu. Aondoke tu hakuna namna.
 
Wewe ndio huwa unafanya vetting ya ma DC? naona imekugusa sana binti huyu kuwa mjamzito, ukitaka tuachane nao wanapotenda tofauti, ongeza umakini kwenye kazi yako..ukifanya hivyo hutatusikia asilani!
Unapoteza muda kumjadilii mtu na maisha yake. Unaendekeza uswahili ule ule wa kushambulia uja uzito wa mtu mzima. Very Pathetic.
 
Mshahara wake kuwa sehemu ya kodi zetu isiwe nongwa ya kutaka kuyatawala maisha yake.

Kuna wezi wangapi wameiba mabilioni ya pesa katika mashirika ya umma na mishahara yao ni kodi zetu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…