nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Usije ukaona kuko kimya hivi basi ukachukulia poa. Waulize M23 utapata Funzo.
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Wanajeshi sio Polisi.. Japo kiukweli Wanajeshi wabongo nao wanakufa sana tu na wengine huwa kimya kimyaa.... Waasi noma sanaa wale hawana cha kupotezaaa wapo tayari KufaaUsije ukaona kuko kimya hivi basi ukachukulia poa. Waulize M23 utapata Funzo.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mbona. Unadharau sana wew ndo. Haya wanayokataa wewe unayaleta. Tena. Mda huu hata hatujaenda mbaliIngekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Sasa si-wanalipwa kwaajili ya kazi hiyo tena pesa wanazolipwa ni makusanyo ya kodi zetu sasa na ndio kazi waliyoichaguaNimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake..
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka.
Kazi ya usalama wa taifa nayo pia ni kulinda usalama..
Hivyo unapoamua kujiunga na hizo kazi lazima ufanye kazi kulingana na job description yako maana hukulazimishwa bali ndoto yako unatimiza hivyo huna budi kufanya kazi kwa mujibu ya mahitaji ya kazi yako.. Siyo kazi ya kujitolea ni kazi kama wengine walivyo madokta, maengineer, walimu nk...
Maaskari wa nchi yoyote huwa wanakuwa na vitengo ndugu. Usifikiri hao unaowaona kila siku mtaani ndio hao hao utawakuta kwenye matukio ya namna hiyo.Wanajeshi sio Polisi.. Japo kiukweli Wanajeshi wabongo nao wanakufa sana tu na wengine huwa kimya kimyaa.... Waasi noma sanaa wale hawana cha kupotezaaa wapo tayari Kufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaWa kwetu wamebobea kwenye kung'ata.
Tumeona Kenya kumbe CC TV camera zinafanya kazi. Za Tanzania huwa hazifanyi kazi japo zipo nyingi tu. Si kwa Lissu wala Mo Dewji. Nchi ya viwanda hii. Bado kidogo tutakuwa "dona" kantri. Labda tuendelee kuwa "sembe" kantri.
Yaah najua mkuu...!! Polisi wa operation ya Kibitiii sio sawa na hawaa tunaowaona humu... So wana mafunzo zaidiii lakini pia sidhani kama hao Polisi huwa wanakaa tuu kusubiri matukio yatokeee ndo wapige mishee nao wanajichanganya na hawa wa kawaidaa...Maaskari wa nchi yoyote huwa wanakuwa na vitengo ndugu. Usifikiri hao unaowaona kila siku mtaani ndio hao hao utawakuta kwenye matukio ya namna hiyo.
Unatia huruma sio bure wahi Milembe.Wewe hata hujui kitu unaongea!
Ni kwa sababu serikali yao iko friendly kiasi chake na wananchi ... sasa huku raisi wenu anawaambia wazi wazi kuwa atawapiga shangazi zenu"... hivi ukiona mwananchi anaichukia serikali hiyo utamlaumu !?Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Ofcourse wale wapo kazini 24/7. Ila nikuibie tu siri ndugu, huu Ukanda wa Africa Mashariki na kati nenda mpaka juu hapo Pembe ya Africa, shughuli za Jeshi letu wanaielewa vyema mno. Na tunasifiwa sana kwa Ukarimu kitu ambacho majirani zetu hawana.Yaah najua mkuu...!! Polisi wa operation ya Kibitiii sio sawa na hawaa tunaowaona humu... So wana mafunzo zaidiii lakini pia sidhani kama hao Polisi huwa wanakaa tuu kusubiri matukio yatokeee ndo wapige mishee nao wanajichanganya na hawa wa kawaidaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulinda raia na kung'ata kunakujaje sasaKazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake..
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka.
Kazi ya usalama wa taifa nayo pia ni kulinda usalama..
Hivyo unapoamua kujiunga na hizo kazi lazima ufanye kazi kulingana na job description yako maana hukulazimishwa bali ndoto yako unatimiza hivyo huna budi kufanya kazi kwa mujibu ya mahitaji ya kazi yako.. Siyo kazi ya kujitolea ni kazi kama wengine walivyo madokta, maengineer, walimu nk...
Vipi kuhusu kibiti na mkuranga mkuu hao wabobezi walienda?Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).
Hata bongo kunakikosi cha CRT kipo vizuri sana.Acha kudharau vitu kama hujui vilivyo mo ndani yake.Rejea kilicho tokea pale lGarisa,ndio utajua polisi wapo vizuri..KDF walienda wakasurrender ila polisi waliobobea mapigano ya kwenye majengo ile kazi waliifanya kwa muda mfupi tu.
5/5.