Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Usije ukaona kuko kimya hivi basi ukachukulia poa. Waulize M23 utapata Funzo.
Wanajeshi sio Polisi.. Japo kiukweli Wanajeshi wabongo nao wanakufa sana tu na wengine huwa kimya kimyaa.... Waasi noma sanaa wale hawana cha kupotezaaa wapo tayari Kufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuuuwi ananing'ata jamaniiiii

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ingekuwa bongo maafa yangekua makubwa zaidi
Mbona. Unadharau sana wew ndo. Haya wanayokataa wewe unayaleta. Tena. Mda huu hata hatujaenda mbali

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si-wanalipwa kwaajili ya kazi hiyo tena pesa wanazolipwa ni makusanyo ya kodi zetu sasa na ndio kazi waliyoichagua

So wapewe sifa ili iweje wakati wanafanya majukumu ya kazi yao inavyowataka kifanya ... mkuu ulitaka hao police wawe wanalipwa pesa tu bure ..bila kuwajibika na majukumu yao !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake..
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka.
Kazi ya usalama wa taifa nayo pia ni kulinda usalama..

Hivyo unapoamua kujiunga na hizo kazi lazima ufanye kazi kulingana na job description yako maana hukulazimishwa bali ndoto yako unatimiza hivyo huna budi kufanya kazi kwa mujibu ya mahitaji ya kazi yako.. Siyo kazi ya kujitolea ni kazi kama wengine walivyo madokta, maengineer, walimu nk...

Hizo kazi nyingine zote ulizotaja wakilipwa mshahara kidogo wanagoma(wanaandamana).

Uliishasikia hao watu hapo juu wanegoma sababu hiyo au yoyote mkuu???jibu ni simple wanajitolea hata kwa malipo kiduchu dhidi ya uhai wao.

Daktari ni muhimu sana kwa elimu na ujuzi iliyoko kichwani kwake,askari ni muhimu kwa pumzi na ujuzi wake linganisha.
 
Wanajeshi sio Polisi.. Japo kiukweli Wanajeshi wabongo nao wanakufa sana tu na wengine huwa kimya kimyaa.... Waasi noma sanaa wale hawana cha kupotezaaa wapo tayari Kufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Maaskari wa nchi yoyote huwa wanakuwa na vitengo ndugu. Usifikiri hao unaowaona kila siku mtaani ndio hao hao utawakuta kwenye matukio ya namna hiyo.
 
Wa kwetu wamebobea kwenye kung'ata.

Tumeona Kenya kumbe CC TV camera zinafanya kazi. Za Tanzania huwa hazifanyi kazi japo zipo nyingi tu. Si kwa Lissu wala Mo Dewji. Nchi ya viwanda hii. Bado kidogo tutakuwa "dona" kantri. Labda tuendelee kuwa "sembe" kantri.
Haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaskari wa nchi yoyote huwa wanakuwa na vitengo ndugu. Usifikiri hao unaowaona kila siku mtaani ndio hao hao utawakuta kwenye matukio ya namna hiyo.
Yaah najua mkuu...!! Polisi wa operation ya Kibitiii sio sawa na hawaa tunaowaona humu... So wana mafunzo zaidiii lakini pia sidhani kama hao Polisi huwa wanakaa tuu kusubiri matukio yatokeee ndo wapige mishee nao wanajichanganya na hawa wa kawaidaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Ni kwa sababu serikali yao iko friendly kiasi chake na wananchi ... sasa huku raisi wenu anawaambia wazi wazi kuwa atawapiga shangazi zenu"... hivi ukiona mwananchi anaichukia serikali hiyo utamlaumu !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah najua mkuu...!! Polisi wa operation ya Kibitiii sio sawa na hawaa tunaowaona humu... So wana mafunzo zaidiii lakini pia sidhani kama hao Polisi huwa wanakaa tuu kusubiri matukio yatokeee ndo wapige mishee nao wanajichanganya na hawa wa kawaidaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse wale wapo kazini 24/7. Ila nikuibie tu siri ndugu, huu Ukanda wa Africa Mashariki na kati nenda mpaka juu hapo Pembe ya Africa, shughuli za Jeshi letu wanaielewa vyema mno. Na tunasifiwa sana kwa Ukarimu kitu ambacho majirani zetu hawana.
 
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake..
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka.
Kazi ya usalama wa taifa nayo pia ni kulinda usalama..

Hivyo unapoamua kujiunga na hizo kazi lazima ufanye kazi kulingana na job description yako maana hukulazimishwa bali ndoto yako unatimiza hivyo huna budi kufanya kazi kwa mujibu ya mahitaji ya kazi yako.. Siyo kazi ya kujitolea ni kazi kama wengine walivyo madokta, maengineer, walimu nk...
Kulinda raia na kung'ata kunakujaje sasa
 
Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).

Hata bongo kunakikosi cha CRT kipo vizuri sana.Acha kudharau vitu kama hujui vilivyo mo ndani yake.Rejea kilicho tokea pale lGarisa,ndio utajua polisi wapo vizuri..KDF walienda wakasurrender ila polisi waliobobea mapigano ya kwenye majengo ile kazi waliifanya kwa muda mfupi tu.

5/5.
Vipi kuhusu kibiti na mkuranga mkuu hao wabobezi walienda?
 
Back
Top Bottom