Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

Mwambie akatubu kwanza dhambi ya ufisadi na kufanya malipizi basi atampata mke mwema
 
Faida kubwa kupata mwenza under 30 mnakua pamoja, uhalisia unakua kwa kiasi kikubwa na hata kila mmoja wenu kubadilika mkutane katikati ni rahisi, kama alibahatika utulivu basi anakua hajapitia mishale mingi ambayo ina hasara nyingi ndani yake.
Inshort faida za under 30 ni nyingi kuliko hasara
 
ni kweli
 
Hakuna asiyependa hela. Na ukiendelea kuwa ba hiyo mindset, utapata anayekuigizia maisha.

Cha umuhimu ni kumpata mtakaye endana.

Kimsingi, unakamia kumpata mwenza, ni rahisi kumpata asiye sahihi. Relax, date as many as possible, choose the best among them.
 
Hakuna kitu kigumu kama kujua unachokitafuta! Huyu naye pamoja na hela zake japo hatujui alizipataje mbongo mkristo unaenda kudate na mwarabu mwisilamu inaonyesha hajitambui
 
Fedha na ma-ex ni vitu vimeharibu mahusiano ya watu wengi ambayo yalielekea kuwa ndoa,so mmoja kaingia tamaa akamua kumwacha mwenzake na mara nyingi huko alipo enda panakuwaga pachungu na kutamani kurudi alipotoka au kuvunja mahusiano na aliyekuwa nae.
 
Unaweza kuhama nchi uende sehemu zenyewe wanawake wenye kipato kizuri kuliko Tanzania.
 
Huo ndio muda sahihi sasa wakuoa binafsi nimeona vijana waliowahi ni kiwanda cha kutengeneza single maza
 
Uzingatiwe.hoja ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…