binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
No no not at all! Kwani wanaume wanakuwaga wazuri? I guess wanaume wanakuwaga wanaume tu.
Halafu mtu akisema amekosa mke hamaanishi amekosa mwanamke, kama issue ni wanawake wapo wakumwaga tena wazuri wamenyooka, hope umeelewa.