Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

Boss kazi kama hii nilishaga jaribu fanya nahisi ni Mambo ya artificial intelligence kama sikosei
Ajira huhisi ni kitu real sio hisia!!
Jitose utapeliwe ila usije kubweka humu.kama mlivyobweka Kalyinda
Jitose na hisia zako sio kesi
 
Ajira huhisi ni kitu real sio hisia!!
Jitose utapeliwe ila usije.kubweka humu.kama mlivyobweka Kalyinda
Jitose na hisia zako sio kesi
Anitapeli roho labda
 
Kuna mtu aliletaga humu 3yrs ago kazi ya kutafsiri maneno ya English kwenda kiswahili. Watu tukajaa baada ya muda akaingia mtini.

Alikua anafanyaje???
Anakutumia Article ya majaribio kama unaweza ukishamtuumiabaada ya kumaliza ndio bai bai. Humpati.
So alikua anawapa maybe watu 20 article tofauti za majaribio then anazikusanya kiulanii.
#Kaeni Rada
 
Hapo alitapeli kupitia kipengele cha no contract signed ,no office address or location hata ukimtafuta humpati anayeyuka hewani tu!!
 
Hivi google translation si ipo?
Unaingiza tu sauti. Au unataka kusaidia vijana kupata ajira?

Halafu huyo mzungumzaji sio native speaker wa kimalkia. Anatumia accent ya kikwao na sio RP!
Hata hivyo ni jambo jema pia kutoa ajira kwa wana rhetoric
 
Unalipaje. Tsh/USD na kwa njia ipi bank au sm
 
Kabisa

Kabla watu hata hawajakaa chini kilio cha Kalyinda hata 40 haijaisha ya msiba wa Kalyinda. Kalyinda part two inaingia msibani
🀣🀣🀣🀣 acha wapelekewe moto mkuu hakuna namna sasa
 
70% uko sahihi mkuu
 
Kabisa

Kabla watu hata hawajakaa chini kilio cha Kalyinda hata 40 haijaisha ya msiba wa Kalyinda. Kalyinda part two inaingia msibani
Samahani sana mkuu, unajua zamani nilikuwa najua wewe ni hamnazo kumbe uko vizuri sana upstairs. Big up mkuu
 
Unalipaje. Tsh/USD na kwa njia ipi bank au sm
Hii dunia isikie kwenye radio tu.ukizubaa kidogo tu Kalyinda huyu hapa kukutapeli halafu anayeyuka
hewani kama mwewe akikwapua kifaranga cha kuku πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…